Rafiki yangu anasumbuliwa na shoga. Je, achukue hatua gani za haraka ?

Pole, sio ww kwel
 
Toa ushauri jins ya ku handle ishu kama hz huwenda yule kaka ako ndio shoga ana mtamani na huko huku hujui na tukana tu
Naanza kuunga nukta.
Usikute wewe ndiye unayesumbua kijana wa watu😀
 
hii inakuhusu moj kwa moja Acha tabia chwara
 
Wote Wapuuzi Ila Mpuuzi Zaidi Ni Wewe,,Punguza Upuuzi Na Umbea Umbea Wa Kipuuzi Kwa Mambo Ya Kipuuzi.
 
Wote Wapuuzi Ila Mpuuzi Zaidi Ni Wewe,,Punguza Upuuzi Na Umbea Umbea Wa Kipuuzi Kwa Mambo Ya Kipuuzi.
Wewe ndio una wala mashoga ndio maana umesirika kwa kuleta uzi humu
 
Na unaweka picha ya soja kabisa hapo kumbe, Diara kitambo kaliacha lango, unakuja jukwaani humu kwa gia ya rafiki yako, uandishi wako tuu moja kwa moja kipa katokaa
Basi hata na wee limekuuma sna kisa shoga lenu nimelianika
 
A
katoe taarifa kituo cha polisi kilicopo karibu na anakoishi!
 
Wanajuwana hao, 'birds of feather..." Huyo jamaa yako anataka kujikosha tu.

Polisi hazijuwi?
 
Mkuu siyo mm bhna haki vile naapa kwa mbele za mungu kuwa siyo mm ni jamaa angu shoga a namsumbua sna hadi kukosa amani kbsaa
Mimi☑️
mm❌
Bwana☑️
bhna❌
Naapa Mbele Ya Mu
ngu☑️
Naapa kwa Mbele za mungu❌
Yangu☑️
Angu❌
Sana☑️
sna❌
Kabisa☑️
kbsaa❌,,,,Jirekebishe Ukiendelea Kujidekeza na Kujilegeza Hata kwenye Uandishi namna Hiyo"UTAKAZWA"
 
Huyo jamaa yako usikute ni wewe..

Hivi mbadhani wazungu waliweka block kwa ajiri ya kazi gani? Kumuentartain shoga ndo vielement vya ushoga hivyo, alafu serious mtu anakaa anauliza afanyeje
ni yeye, anajifanya rafki ake akati ni yeye[emoji34]

hivi wanaume mmekuaje? haya mtoa mada mkubalie tu ukamfanye[emoji34][emoji57]
 
Yaani kutongozwa tu ndio akaseme kwa waziri? Kwani alishikiwa silaha akubali? Si unakataa tu na mambo yanaisha shwari tu? Huko ni kujiabisha, watu huwa tunatongozwa na hayo majitu pamoja na mademu tunapotezea na inakuwa kimya bila kutangaza kuwa ulitongozwa. By the way hii ni story ya kutunga
 
Wanajuwana hao, 'birds of feather..." Huyo jamaa yako anataka kujikosha tu.

Polisi hazijuwi?
Kumbe jamaa angu akili peleka hili jambo police atasai dika

Asnte kwa ushauri bib etu

Pia. Niseme was wasi nimekumiss sna bib etu hkik kama utanipa namba zako nikutumie jogoo umchinnye ule supu yake nipe nmba nikutumie lijogoo mm nimfugaji mzuri sna bib
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…