Rafiki yangu anasumbuliwa na shoga. Je, achukue hatua gani za haraka ?

Mambo mengine bana. Ukitongozwa una haki ya kukubali au kukataa. Jamaa yako anashindwa kusema hapana? Hakuna kitufe cha block kwenye simu yake...

Ni suala la muda tu ataliwa yeye
Kuomba ushauri ni kama kutaka kukubali fulani hivi 😜😜
 
Ninyi ndio wafiraji sasa mmefikiwa mnajifanya mnamind
Naona unatafuta attention kwa kuanzisha nyuzi za kipuuzi, kama rafiki ako mpaka leo hajui cha kufanya, unavyoanzisha uzi huku JF ndo utapata suluhisho, acha ujinga
 
Jamaa yako ni staki nataka, mbona hapa mjini ni mambo ya kawaida tu, yameshatukuta sana sisi hayo, ni kumchana live hutaki na kumlamba block ya hali ya juu, yaani kila sehemu anakula block.. Ama mkwara wa mwisho akikusumbua sana unamuambia utaiambia familia yake.
Imeisha hiyo.
 
Hana ubavu huo anaona aibu
 
Kwa maelezo yako inaonyesha wewe ndo huyo shoga au rafiki wa karibu wa huyo shoga. Kuweka namba hapa ni kumtafutia/kujitafutia soko. Achana na hayo mambo ya laana.. kuandika huu uzi ni kuzidi kueneza hizo laana.
 
Kipigo tu ,akileta hizo story amuite sehemu isiyo na watu aemtembezee kipigo .

Kwasasa napiga mazoezi na pia natafuta pumzi nikirudi Dar akitokea mtu mwenye ujinga huo ni kukuomba tukutane kule taifa kwa nyuma nina maongezi naye zaidi juu ya suala lake ,namtembezea kipigo Cha haja akitoka hapo anafuta namba yangu yeye mwenyewe .
 
Daaaaaaah bora umeona mbali mwanangu
 
Kwa maelezo yako inaonyesha wewe ndo huyo shoga au rafiki wa karibu wa huyo shoga. Kuweka namba hapa ni kumtafutia/kujitafutia soko. Achana na hayo mambo ya laana.. kuandika huu uzi ni kuzidi kueneza hizo laana.
Kupitia uzi huu utawajuwa tu wafiraji na walawiti kama wewe bila shaka umelawitiwaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…