Rafiki yangu anasumbuliwa na shoga. Je, achukue hatua gani za haraka ?

Rafiki yangu anasumbuliwa na shoga. Je, achukue hatua gani za haraka ?

Mambo mengine bana. Ukitongozwa una haki ya kukubali au kukataa. Jamaa yako anashindwa kusema hapana? Hakuna kitufe cha block kwenye simu yake...

Ni suala la muda tu ataliwa yeye
Kuomba ushauri ni kama kutaka kukubali fulani hivi 😜😜
 
Ninyi ndio wafiraji sasa mmefikiwa mnajifanya mnamind
Naona unatafuta attention kwa kuanzisha nyuzi za kipuuzi, kama rafiki ako mpaka leo hajui cha kufanya, unavyoanzisha uzi huku JF ndo utapata suluhisho, acha ujinga
 
Jamaa yako ni staki nataka, mbona hapa mjini ni mambo ya kawaida tu, yameshatukuta sana sisi hayo, ni kumchana live hutaki na kumlamba block ya hali ya juu, yaani kila sehemu anakula block.. Ama mkwara wa mwisho akikusumbua sana unamuambia utaiambia familia yake.
Imeisha hiyo.
 
Jamaa yako ni staki nataka, mbona hapa mjini ni mambo ya kawaida tu, yameshatukuta sana sisi hayo, ni kumchana live hutaki na kumlamba block ya hali ya juu, yaani kila sehemu anakula block.. Ama mkwara wa mwisho akikusumbua sana unamuambia utaiambia familia yake.
Imeisha hiyo.
Hana ubavu huo anaona aibu
 
Wakuu niwape pole kwa maafa yalioikumba nchi yetu kufatia kuporomoka kwa jengo la biashara mjini dar es Salaam mitaa ya kariakoo na pia natoa wito kwa vyombo kuharakisha uokozi ili watu walio chini wafikiwe haraka na wakutwe wako Hai


Sasa baada ya utangulizi huo niende kwenye mada kama nilivyo tajwa hapo juu

Ni hv nina jamaa angu na rfk angu pia ni muajiriwa katika ofisi ya Rais Tamisemi
Yey hana kipato kikubwa sna ila ana rfk ake ambae ni muajiri wa Taasisi kubwa ya fedha nchini ambae anafanya kaz moja ya wilaya flani ktk mkoa x wote wako mkoa mmoja

Sasa jamaa aliwai niambia kuwa jamaa ake ni pilau nikamkatalia ila baadae kaleta ushahid kwa jins jamaa anavyo msumbua jamaa angu wa tamisemi j hadi jamaa angu kakosa amani akidhani hii ni laaan gani hii hadi shoga amtake kwa nguvu na kutumia ushawish wa pesa ili jama akubali, a najiuliza inamana huyu shoga anamuona tu yeye haoni watu wengine

Week nzima iliyo pita jamaa shoga anamsumbua jamaa angu akitak akamle ndogo yake na jamaa shoga yuko tayari kulipia hotel kubwa ili jmaa wa tamisemi akamtindue vzr

Huyu shoga ana pesa ana familia pia ameajiriwa katk taasis kubwa ya pesa sijui amepatw na nn kwani ukimuona Uwez mdhania kuwa analiwa ndogo kwa pesa zake kwa gharama zake

Jamaa amaepnga kwenda kumshtaki kwa dawati la jinsi au kwa waziri gwajima ili aitwe akanywe na aache tabia ya kutumia katuma msg za hovyo kwemye simu ya jamaa kwani anamuahatarisha mausiano yake na mpenzi wake na anajuwa kbsa endapo atampiga itakuja julikana na heshima yake itashuka sna

Ananiomba ushauri ni hatua gani achukuwe for the first time anauliza je akifungua kesi police je kuna kesi hapo?

Nitatuma screen shot za shoga akimtongoza jamaa na kumuandikia msg za kipumbavu

Na kama kuna mtu anataka nmba za shoga huyu niko tayari kuwasilisha hapa hPa ili apigwe akanywe
Kwa maelezo yako inaonyesha wewe ndo huyo shoga au rafiki wa karibu wa huyo shoga. Kuweka namba hapa ni kumtafutia/kujitafutia soko. Achana na hayo mambo ya laana.. kuandika huu uzi ni kuzidi kueneza hizo laana.
 
Kipigo tu ,akileta hizo story amuite sehemu isiyo na watu aemtembezee kipigo .

Kwasasa napiga mazoezi na pia natafuta pumzi nikirudi Dar akitokea mtu mwenye ujinga huo ni kukuomba tukutane kule taifa kwa nyuma nina maongezi naye zaidi juu ya suala lake ,namtembezea kipigo Cha haja akitoka hapo anafuta namba yangu yeye mwenyewe .
 
Mimi☑️
mm❌
Bwana☑️
bhna❌
Naapa Mbele Ya Mu
ngu☑️
Naapa kwa Mbele za mungu❌
Yangu☑️
Angu❌
Sana☑️
sna❌
Kabisa☑️
kbsaa❌,,,,Jirekebishe Ukiendelea Kujidekeza na Kujilegeza Hata kwenye Uandishi namna Hiyo"UTAKAZWA"
Daaaaaaah bora umeona mbali mwanangu
 
Kwa maelezo yako inaonyesha wewe ndo huyo shoga au rafiki wa karibu wa huyo shoga. Kuweka namba hapa ni kumtafutia/kujitafutia soko. Achana na hayo mambo ya laana.. kuandika huu uzi ni kuzidi kueneza hizo laana.
Kupitia uzi huu utawajuwa tu wafiraji na walawiti kama wewe bila shaka umelawitiwaga
 
Back
Top Bottom