Rafiki yangu wa karibu sana, ametumiwa video ya ngono ya. Mke wake mtarajiwa na hii ni ya. Majuzi tu,
Sasa ubaya zaidi, mtu aliyekuwa akifanya nae mapenzi ni Rafiki yetu wa karibu! Sana pia, ina maana mwamba alikua akimzumnguka mshikaji wetu
Mpaka gharama zilizotumika
👉Mahari na mambo mengine ya kimila(mkoti babu, vitenge vya bibi, ujombani, mama wakubwa )
Jumla-3.5M
👉Ukumbi 1.5
👉Maandalizi mengine karibu 6M mapambo, kukodi magari, Muziki, MC booking, chakula na vinywaji, 👉suti na shela(1.2M)=jumla 10.2M
Sasa jamaa yetu yuko njia Panda kwa gharama ambazo kashatumia anaumia sana kuhairisha shughuli
👉Lakini kwa upande mwingine ili jambo limemuathiri sana
Je afanyaje? Siku ya sherehe ni wiki ijayo ijumaa?