Rafiki yangu anataka kuahirisha kuoa Baada ya kutumiwa video ya ngono ya mke wake mtarajiwa!

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Rafiki yangu wa karibu sana, ametumiwa video ya ngono ya. Mke wake mtarajiwa na hii ni ya. Majuzi tu,

Sasa ubaya zaidi, mtu aliyekuwa akifanya nae mapenzi ni Rafiki yetu wa karibu! Sana pia, ina maana mwamba alikua akimzumnguka mshikaji wetu

Mpaka gharama zilizotumika
👉Mahari na mambo mengine ya kimila(mkoti babu, vitenge vya bibi, ujombani, mama wakubwa )
Jumla-3.5M
👉Ukumbi 1.5
👉Maandalizi mengine karibu 6M mapambo, kukodi magari, Muziki, MC booking, chakula na vinywaji, 👉suti na shela(1.2M)=jumla 10.2M

Sasa jamaa yetu yuko njia Panda kwa gharama ambazo kashatumia anaumia sana kuhairisha shughuli
👉Lakini kwa upande mwingine ili jambo limemuathiri sana

Je afanyaje? Siku ya sherehe ni wiki ijayo ijumaa?
 
CHAI CHAI CHAI
 

Yeye, wewe na yeyote ambaye hajui jamaa Afanyaje ni wapumbavu!

Kama ana balance yeyote achukue, na a recover pesa anayoweza, aende Nairobi akae week arudi baadae!
 
Njia panda ya nini wakati huyo ni wa kuacha. Tena ni bahati kweli amejua kabla ya kufunga ndoa. Ila hiyo video sio ya kutengeneza, maanake ma-AI yamefurika duniani.
Pia, bwana harusi mtarajiwa hajawahi kupiga game kabla ya kukutana na huo dada? Je, alitarajia kukuta bikra?
Ila kabla ya uamuzi wowote, azungumze na huyo bi harusi mtarajiwa.
 
Asioe. Hiyo ndito ni super porn star
 
Ni wapenz wa muda mrefu it means walikuwa wanakamuana
 
Kwa hiyo yuko njia panda kwa sababu ya gharama?
Anataka kuoa malaya kisa anawaza gharama? ngoja amuoe apate gharama ya maisha.
 
Kuna watu mnauliza maswali yanatia kichefuchefu sana.
Kwa akili hizi chukueni hiyo video ya ngono mkapigie punyeto wapumbavu nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…