Ni wiki ya pili sasa toka nipate ombi hilo kutoka kwa rafiki yangu wa karibu sana.
Hilo limekuja baada ya kupata uthibitisho wa vipimo vya kitaalamu kutoka Hospitali
Kuwa hana uwezo wa kupata mtoto katika maisha yake. Hivyo anaomba nifanye
hivyo kwa mkewe ili apate mtoto. Naomba mnishauri juu ya jambo hili kwani nimempa
jibu moja tu kuwa avute subira nitafakari. Pia amenieleza kuwa hilo jambo wamejadili
na mkewe na wameshakubaliana.
Naomba ushauri wenu waungwana!
GAZETI be like a grown up man usiwe kama vile mtoto ambaye hata akidanganywa kwa pipi atakubali, how in the world mtu anakuja anakwambia nataka ufanye mapenzi na mke wangu ili tupate mtoto na wewe you just go ahead na kumwambia kuwa unafikiria, usilete justifications eti kwa kuwa kapimwa hospitali halafu yeye ndio kakutwa na tatizo, huo uthibitsho wa kitaalamu wewe umeuona?? What makes you think kweli wamekubaliana na mkewe??? Unapokuja kuomba ushauri hapa JF on such issue do you expect kwamba watu watakwambia yes Gazeti go ahead and do it??? Halafu utaenda vipi kutafakari kitu ambacho hauna uhakika nacho??? Otherwise unataka tuamini kuwa hii stori vingineNi wiki ya pili sasa toka nipate ombi hilo kutoka kwa rafiki yangu wa karibu sana.
Hilo limekuja baada ya kupata uthibitisho wa vipimo vya kitaalamu kutoka Hospitali
Kuwa hana uwezo wa kupata mtoto katika maisha yake. Hivyo anaomba nifanye
hivyo kwa mkewe ili apate mtoto. Naomba mnishauri juu ya jambo hili kwani nimempa
jibu moja tu kuwa avute subira nitafakari. Pia amenieleza kuwa hilo jambo wamejadili
na mkewe na wameshakubaliana.
Naomba ushauri wenu waungwana!
Upande mmoja unakusuma kufanya hivyo kwasababu gani????Duh! swali lako gumu sana mkuu, kifupi upande mmoja
unanisukuma kufanya hivyo lakini upande mwingine unasita
kwani sina uhakika na anachokizungumza kwa sababu hata
hivyo vyeti kuoka hospitali sijaviona!
Hivi huo ushahidi wa hospitali anao jamaa tu hataki kukuonyesha wewe mtarajiwa wa mke wake kwenye tendo hili nashangaa sana kama yuko radhi utembee na mke wake halfu hayuko radhi kukuonyesha vipimo vyake vya hospital hii kweli kizungumkutiSijui kwa nini hatuaminiani hapa jukwaani, bahati mbaya sina
njia ya kukufanya usadiki nilichoandika!
Yaani unasema ameomba iwe siri halafu at the same time unasema unaogopa kuweka hivyo vipimo hapa kwa kuhofia itakuwa sio siri tena, halafu at the same time tena unasema vipimo haujaviona hii mbona kali Gazeti unataka niamini sasa kuwa hii kitu umetunga aiseeNi jambo ambalo ameomba liwe siri sijui kama itakuwa siri tena nikileta hivyo
vipimo hapa, hata hivyo mimi sijaviona hivyo vipimo!
nahisi kuna pepo wa ushoga kwenye nafsi ya huyo bwana mwenye mke
Upande mmoja unakusuma kufanya hivyo kwasababu gani????
Yaani unasema ameomba iwe siri halafu at the same time unasema unaogopa kuweka hivyo vipimo hapa kwa kuhofia itakuwa sio siri tena, halafu at the same time tena unasema vipimo haujaviona hii mbona kali Gazeti unataka niamini sasa kuwa hii kitu umetunga aisee
Kama unakusudia HIV nimeshapima, mtoto ninaye mmoja tu na mama yake amefariki.Je.. kwanza huyo mke wake analipa? figa yake ikoje.. isijekuwa masoud flani.. unamkuta mwanamke sura kama kitimoto mzee kisha libaba linakwambia mzalishe mke wangu.. hilo la kwanza, la pili ni aje.. kama huyo mke wa rafiki yako akiona na kutamani mchezo wako ulivyo matata ndo ujue kwa mumewe harudi.. ndo umeshaoa hivyo kiaina.. na je wewe mwenyewe una uhakika gani kwamba uko FIT kuzalisha wake za watu.. ni kidume cha mbegu kiasi gani.. ni wasichana wangapi ulishawatwanga viujauzito ukawakimbia.. embu pia tupe tathmin.. umetaka iwe siri oke basi tuelezee wangapi umeshawakimbia..
na mwisho kabisa.. leta DATA.. UMESHAPIMA??
Sikubaliani na wewe kuwa inahitajika akili timamu kufanya au kutokufanyaKama una akili timamu naamini hutofanya hivo la kama unatumia madawa its another issue!!
Ha ha haaaaa Umenichekesha!anakutega alishajua kuwa wewe ni mla vya watu anataka akutoe roho, hivi wewe kwa akili zako utamwomba mwanaume mwenzio akamfanye mkeo, wewe vipi dogo wangu, utakufa hakika utakufa achana na ulimbukeni huo.