Rafiki yangu anataka nifanye tendo la ndoa na mkewe!

Rafiki yangu anataka nifanye tendo la ndoa na mkewe!

Gazeti
achana na hizo mambo
mwambie haiwezdkani
mbegu zako ni za muhmu kweki c kugawa kama pipi
pia baadae utakuja mtamani huyo mtoto uje uzuke ugomvi
kingne kuna hili gonjwa letu.
kazi kwako.
 
anakutega alishajua kuwa wewe ni mla vya watu anataka akutoe roho, hivi wewe kwa akili zako utamwomba mwanaume mwenzio akamfanye mkeo, wewe vipi dogo wangu, utakufa hakika utakufa achana na ulimbukeni huo.
 
Ni watoto wangapi huyo rafiki yako angependa kuwa nao? mmoja tu au kutakuwa na wengine? halahala jamaa akifa mkewe atahamia kwa ''baba watoto'' wake...yaani wewe
 
Maasai mkubwa kabisa wewe. Afya ya jamaa yako unaijua, na mkewe pia unaijua. Kwa taarifa yako uzoefu umeonyesha baadhi ya wanando wanapochelewa kupata watoto, aidha mke au mume au wote hutoka nje ya ndoa kujaribu na huko wengi huvuna magonjwa na kujikuta wanaambukizana.

Sasa wewe unataka kuingia kwenye nyumba ya huyo jamaa huoni kama kuna hatari, na lengo la kutaka kufanya hivyo ili iweje? Jamaa yako aonekane amezaa...sawa, je jamii ikijua umefanya hivyo, heshima yako itakuwaje kwa mkeo au mkeo mtarajiwa. Nini haki ya huyo mtoto kumjua baba yake halali? Kuna mengi yatajitokeza huko mbele dhambi ambayo itakutesa sana maishani mwako. Na hilo likitokea urafiki wenu utaisha na jamaa yako hatampenda huyo mtoto amini usiamini.

Sikushauri ufanye hivyo, sio kitu kizuri ni sawa na kuzaa na mke wa mtu, utapata shida nafsini mwako.

Acha kabisa mkuu
 
Hiyo tabia ndiyo inawamaliza wamaasai kwa sasa huku vijijini. Ukija kujionea mwenyewe utaona huruma afya za hawa jamaa zetu zinavyopukutika mithili ya mdondo wa kuku
 
Je.. kwanza huyo mke wake analipa? figa yake ikoje.. isijekuwa masoud flani.. unamkuta mwanamke sura kama kitimoto mzee kisha libaba linakwambia mzalishe mke wangu.. hilo la kwanza, la pili ni aje.. kama huyo mke wa rafiki yako akiona na kutamani mchezo wako ulivyo matata ndo ujue kwa mumewe harudi.. ndo umeshaoa hivyo kiaina.. na je wewe mwenyewe una uhakika gani kwamba uko FIT kuzalisha wake za watu.. ni kidume cha mbegu kiasi gani.. ni wasichana wangapi ulishawatwanga viujauzito ukawakimbia.. embu pia tupe tathmin.. umetaka iwe siri oke basi tuelezee wangapi umeshawakimbia..
na mwisho kabisa.. leta DATA.. UMESHAPIMA??
 
Ni wiki ya pili sasa toka nipate ombi hilo kutoka kwa rafiki yangu wa karibu sana.
Hilo limekuja baada ya kupata uthibitisho wa vipimo vya kitaalamu kutoka Hospitali
Kuwa hana uwezo wa kupata mtoto katika maisha yake. Hivyo anaomba nifanye
hivyo kwa mkewe ili apate mtoto. Naomba mnishauri juu ya jambo hili kwani nimempa
jibu moja tu kuwa avute subira nitafakari. Pia amenieleza kuwa hilo jambo wamejadili
na mkewe na wameshakubaliana.

Naomba ushauri wenu waungwana!

nahisi kuna pepo wa ushoga kwenye nafsi ya huyo bwana mwenye mke
 
Ni wiki ya pili sasa toka nipate ombi hilo kutoka kwa rafiki yangu wa karibu sana.
Hilo limekuja baada ya kupata uthibitisho wa vipimo vya kitaalamu kutoka Hospitali
Kuwa hana uwezo wa kupata mtoto katika maisha yake. Hivyo anaomba nifanye
hivyo kwa mkewe ili apate mtoto.
Naomba mnishauri juu ya jambo hili kwani nimempa
jibu moja tu kuwa avute subira nitafakari. Pia amenieleza kuwa hilo jambo wamejadili
na mkewe na wameshakubaliana.

Naomba ushauri wenu waungwana!
GAZETI be like a grown up man usiwe kama vile mtoto ambaye hata akidanganywa kwa pipi atakubali, how in the world mtu anakuja anakwambia nataka ufanye mapenzi na mke wangu ili tupate mtoto na wewe you just go ahead na kumwambia kuwa unafikiria, usilete justifications eti kwa kuwa kapimwa hospitali halafu yeye ndio kakutwa na tatizo, huo uthibitsho wa kitaalamu wewe umeuona?? What makes you think kweli wamekubaliana na mkewe??? Unapokuja kuomba ushauri hapa JF on such issue do you expect kwamba watu watakwambia yes Gazeti go ahead and do it??? Halafu utaenda vipi kutafakari kitu ambacho hauna uhakika nacho??? Otherwise unataka tuamini kuwa hii stori vingine

Duh! swali lako gumu sana mkuu, kifupi upande mmoja
unanisukuma kufanya hivyo lakini upande mwingine unasita
kwani sina uhakika na anachokizungumza kwa sababu hata
hivyo vyeti kuoka hospitali sijaviona!
Upande mmoja unakusuma kufanya hivyo kwasababu gani????

Sijui kwa nini hatuaminiani hapa jukwaani, bahati mbaya sina
njia ya kukufanya usadiki nilichoandika!
Hivi huo ushahidi wa hospitali anao jamaa tu hataki kukuonyesha wewe mtarajiwa wa mke wake kwenye tendo hili nashangaa sana kama yuko radhi utembee na mke wake halfu hayuko radhi kukuonyesha vipimo vyake vya hospital hii kweli kizungumkuti

Ni jambo ambalo ameomba liwe siri sijui kama itakuwa siri tena nikileta hivyo
vipimo hapa,
hata hivyo mimi sijaviona hivyo vipimo!
Yaani unasema ameomba iwe siri halafu at the same time unasema unaogopa kuweka hivyo vipimo hapa kwa kuhofia itakuwa sio siri tena, halafu at the same time tena unasema vipimo haujaviona hii mbona kali Gazeti unataka niamini sasa kuwa hii kitu umetunga aisee
 
nahisi kuna pepo wa ushoga kwenye nafsi ya huyo bwana mwenye mke

yeah_sure!....maake haiingi akilini kabisa na sio huyo tu hata huyu mleta mada naye ana matatizo ya akili
 
Pale unapo ona haiwezekani yawezekana. Ndugu yangu Binamu yalimkuta kama ya huyo Bwana. Yéyé kwa ujasiri alimweleza mdogo Wake akamzalishe mkewe. Ndugu alipelekwa hadi kigoma. Haya Binamu nae amefariki lakini wameambulia Mtoto
 
Upande mmoja unakusuma kufanya hivyo kwasababu gani????

Yaani unasema ameomba iwe siri halafu at the same time unasema unaogopa kuweka hivyo vipimo hapa kwa kuhofia itakuwa sio siri tena, halafu at the same time tena unasema vipimo haujaviona hii mbona kali Gazeti unataka niamini sasa kuwa hii kitu umetunga aisee

Nashukuru kwa uchambuzi wako makini. Kuogopa kuweka vipimo ninakusudia kuwa
hata kama nitapewa hivyo vipimo siwezi kuweka hapa, halafu mambo mengine naona
memba wanashindwa kuelewa kuwa si lazima yakukute mwandishi, yaweza kuwa jambo
la kweli ambalo unaongea kwa niaba ya.... Ingawa wengi wameichukulia kuwa ni kama story
ya Kijiweni lakini napenda kuthibitisha kuwa ni KWELI tena mwaka huu 2011....
 
Hivi imekuwaje hili suala ambalo ni la kweli kwa 100% linashindwa
kuaminika. Vyovyo mtu atakavyosema lakini sina jinsi ya kukanusha
jambo hili isipokuwa nasisitiza tena na tena kuwa ni kweli imetokea
100% kama kuna filamu inafanana na tukio hili narudia tena sijawahi
kuiona hiyo filamu.
Nasisitiza tena na tena TUKIO HILI SI LA KUBUNI!
 
Kuna vitu naamini hapa Jf watu huogopa kupost kwa
kuchelea Changamoto kama hizi lakini ukweli ni kwamba
tumezungukwa na mabo ya kustaajabisha yahusuyo mahusiano
katika jamaii ambayo ni vizuri yakaletwa jukwaani na kujadiliwa bila
woga. Kama hili mmeliona haliwezekani basi niliwahi kukaa wilaya moja
ambako daktari mwenye wake wawili alikuwa anamuomba rafiki yangu
wa karibu akam.... kinyume na maumbile. Sijui ni kwa nini ilikuwa hivi
Naandika hivi nikiamini kuwa MUNGU ni shahidi juu ya ninachoandika
kuwa ni ukweli kabisa. Huyo daktari AMEFARIKI kwa sasa. Haya mambo
yapo ndugu zangu.
 
ebwana hii ni kali ya mwaka,msaidie tu huyo bwana,mchakato wa kulea yatima unawea kuweka ndoa yao hatarini
 
Kama una akili timamu naamini hutofanya hivo la kama unatumia madawa its another issue!!
 
Je.. kwanza huyo mke wake analipa? figa yake ikoje.. isijekuwa masoud flani.. unamkuta mwanamke sura kama kitimoto mzee kisha libaba linakwambia mzalishe mke wangu.. hilo la kwanza, la pili ni aje.. kama huyo mke wa rafiki yako akiona na kutamani mchezo wako ulivyo matata ndo ujue kwa mumewe harudi.. ndo umeshaoa hivyo kiaina.. na je wewe mwenyewe una uhakika gani kwamba uko FIT kuzalisha wake za watu.. ni kidume cha mbegu kiasi gani.. ni wasichana wangapi ulishawatwanga viujauzito ukawakimbia.. embu pia tupe tathmin.. umetaka iwe siri oke basi tuelezee wangapi umeshawakimbia..
na mwisho kabisa.. leta DATA.. UMESHAPIMA??
Kama unakusudia HIV nimeshapima, mtoto ninaye mmoja tu na mama yake amefariki.
 
Kama una akili timamu naamini hutofanya hivo la kama unatumia madawa its another issue!!
Sikubaliani na wewe kuwa inahitajika akili timamu kufanya au kutokufanya
labda uniambie mambo ya kiimani... Yaani kama uanaogopa dhambi......
kwani mengi mabaya yanayofanywa hufanywa na wenye akili timamu.
 
anakutega alishajua kuwa wewe ni mla vya watu anataka akutoe roho, hivi wewe kwa akili zako utamwomba mwanaume mwenzio akamfanye mkeo, wewe vipi dogo wangu, utakufa hakika utakufa achana na ulimbukeni huo.
Ha ha haaaaa Umenichekesha!
 
Yaani bonge la story ya kutunga hayo mambo yanatibika bana acha kutunga wewe labda kama teknolojia hizi hazijafika huko uliko
 
story yako naiamini.mahusiano mengine yana siri ambazo.zikiwekwa hadharani utashangaa.hao watu wako desperate,na ukiwa desperate,unaweza kufanya vitu,ambavyo hufikirii baadae itakuwaje.na wewe kwa upande wako,huna haja ya kufikiria,hilo jambo usilikubali,utakuja kujuta baadae.
 
Back
Top Bottom