Rafiki yangu kaharibu gari langu

Pole lakini mbona hayatuhusu mkuu
 
Tatizo la shock up liliqnzia hapa😂
 

Attachments

  • IMG_20210731_170821.jpg
    49.1 KB · Views: 7
Kwanini usiache kwako tu... Vipo vya kuazimana lakini si gari
 

Kwa hiyo ndio umekuja kunisema huku mkuu, anyway..
 
Gari langu [emoji777]️
Gari yangu [emoji736]️
Kwani wingi wa gari sio magari?? Kama jibu ni ndiyo basi nomino gari inaangukia kwenye ngeli ya LI - YA na sentesi ya mdau (gari langu) ipo sahihi.

Gari - magari

Gari langu limeharibika
Magari yangu yameharibika
Ngeli ya LI - YA
 
Hujaharibu, upo sahihi kabisa. Aliyekurekebisha ndiye aliyekosea!!
 
Kwani wingi wa gari sio magari?? Kama jibu ni ndiyo basi nomino gari inaangukia kwenye ngeli ya LI - YA na sentesi ya mdau (gari langu) ipo sahihi.

Gari - magari

Gari langu limeharibika
Magari yangu yameharibika
Ngeli ya LI - YA
Mkuu kiswahili ulisoma kweli?

Mbona Bakita ipo wazi tu pale kama uelewi jambo kwanini usiende kupata ufafanuzi?

Magari yangu yameharibika ❌️

Gari zangu zimeharibika ✅️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…