Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ninalo kama hilo nitakuja nalo Mbeya kwenye kideti chetu, mwendo wa vintage kama wazungu vile😛🤣🤣🤣👋
🤣🤣🤣tutatisha aiseeninalo kama hilo nitakuja nalo Mbeya kwenye kideti chetu, mwendo wa vintage kama wazungu vile😛
Pole lakini mbona hayatuhusu mkuuJuzi nilisafiri kwenda nje ya mkoa ambako ilitarajiwa nikae siku 5. Kwa ajili ya mazingira ya usalama nikaamua gari niliache kwa rafiki yangu ambae pia tuna kawaida ya kuachiana magari endapo mmoja anapata safari inayolazimu kusafiri na usafiri wa umma.
Sasa nikarudi siku moja kabla na nikaenda kwake kuchukua gari langu.
Ile nafika namkuta jamaa kakaa barazani gari lake lipo ila langu halipo. Nilipo muuliza ananiambia amempatia mdogo wake ampeleke mgonjwa hospitali, nikaondoka maana ilikuwa kama saa 4 asubuhi ila nilikasirika sana!
Kama angekuwa kaondoka nalo mwenyewe isingekuwa kesi kwani nafahamu uendeshaji wake hatutofautiani na mimi.
Swali nilikiuliza kwanini asimpatie gari lake badala yake kampatia la kwangu?
Gari halikurudi mpaka saa 12 jioni. Mafuta wakati nakabudhi yalikuwa robo tanki ila nakabidhiwa yako mshale wa mwisho chini halafu anajitetea ameongeza lita 10! Nikamwambia tatizo sio lita 10, hata angeongeza lita 80 ilitakiwa yasiwe chini ya kiwango cha awali.
Nilikuta gari shokap moja ya nyuma imekufa na gari linatoa milio ya ajabu.
Imenilazimu nipelele gereji pesa initoke
Sitarudia tena kuacha gari kwa mtu asie jali.
Huyo rafiki sio mstaarabu kabisa, rafiki wa ovyo
Kwanini usiache kwako tu... Vipo vya kuazimana lakini si gariJuzi nilisafiri kwenda nje ya mkoa ambako ilitarajiwa nikae siku 5. Kwa ajili ya mazingira ya usalama nikaamua gari niliache kwa rafiki yangu ambae pia tuna kawaida ya kuachiana magari endapo mmoja anapata safari inayolazimu kusafiri na usafiri wa umma.
Sasa nikarudi siku moja kabla na nikaenda kwake kuchukua gari langu.
Ile nafika namkuta jamaa kakaa barazani gari lake lipo ila langu halipo. Nilipo muuliza ananiambia amempatia mdogo wake ampeleke mgonjwa hospitali, nikaondoka maana ilikuwa kama saa 4 asubuhi ila nilikasirika sana!
Kama angekuwa kaondoka nalo mwenyewe isingekuwa kesi kwani nafahamu uendeshaji wake hatutofautiani na mimi.
Swali nilikiuliza kwanini asimpatie gari lake badala yake kampatia la kwangu?
Gari halikurudi mpaka saa 12 jioni. Mafuta wakati nakabudhi yalikuwa robo tanki ila nakabidhiwa yako mshale wa mwisho chini halafu anajitetea ameongeza lita 10! Nikamwambia tatizo sio lita 10, hata angeongeza lita 80 ilitakiwa yasiwe chini ya kiwango cha awali.
Nilikuta gari shokap moja ya nyuma imekufa na gari linatoa milio ya ajabu.
Imenilazimu nipelele gereji pesa initoke
Sitarudia tena kuacha gari kwa mtu asie jali.
Juzi nilisafiri kwenda nje ya mkoa ambako ilitarajiwa nikae siku 5. Kwa ajili ya mazingira ya usalama nikaamua gari niliache kwa rafiki yangu ambae pia tuna kawaida ya kuachiana magari endapo mmoja anapata safari inayolazimu kusafiri na usafiri wa umma.
Sasa nikarudi siku moja kabla na nikaenda kwake kuchukua gari langu.
Ile nafika namkuta jamaa kakaa barazani gari lake lipo ila langu halipo. Nilipo muuliza ananiambia amempatia mdogo wake ampeleke mgonjwa hospitali, nikaondoka maana ilikuwa kama saa 4 asubuhi ila nilikasirika sana!
Kama angekuwa kaondoka nalo mwenyewe isingekuwa kesi kwani nafahamu uendeshaji wake hatutofautiani na mimi.
Swali nilikiuliza kwanini asimpatie gari lake badala yake kampatia la kwangu?
Gari halikurudi mpaka saa 12 jioni. Mafuta wakati nakabudhi yalikuwa robo tanki ila nakabidhiwa yako mshale wa mwisho chini halafu anajitetea ameongeza lita 10! Nikamwambia tatizo sio lita 10, hata angeongeza lita 80 ilitakiwa yasiwe chini ya kiwango cha awali.
Nilikuta gari shokap moja ya nyuma imekufa na gari linatoa milio ya ajabu.
Imenilazimu nipelele gereji pesa initoke
Sitarudia tena kuacha gari kwa mtu asie jali
Kwa hiyo ndio umekuja kunisema huku mkuu, anyway..Juzi nilisafiri kwenda nje ya mkoa ambako ilitarajiwa nikae siku 5. Kwa ajili ya mazingira ya usalama nikaamua gari niliache kwa rafiki yangu ambae pia tuna kawaida ya kuachiana magari endapo mmoja anapata safari inayolazimu kusafiri na usafiri wa umma.
Sasa nikarudi siku moja kabla na nikaenda kwake kuchukua gari langu.
Ile nafika namkuta jamaa kakaa barazani gari lake lipo ila langu halipo. Nilipo muuliza ananiambia amempatia mdogo wake ampeleke mgonjwa hospitali, nikaondoka maana ilikuwa kama saa 4 asubuhi ila nilikasirika sana!
Kama angekuwa kaondoka nalo mwenyewe isingekuwa kesi kwani nafahamu uendeshaji wake hatutofautiani na mimi.
Swali nilikiuliza kwanini asimpatie gari lake badala yake kampatia la kwangu?
Gari halikurudi mpaka saa 12 jioni. Mafuta wakati nakabudhi yalikuwa robo tanki ila nakabidhiwa yako mshale wa mwisho chini halafu anajitetea ameongeza lita 10! Nikamwambia tatizo sio lita 10, hata angeongeza lita 80 ilitakiwa yasiwe chini ya kiwango cha awali.
Nilikuta gari shokap moja ya nyuma imekufa na gari linatoa milio ya ajabu.
Imenilazimu nipelele gereji pesa initoke
Sitarudia tena kuacha gari kwa mtu asie jali.
Imenilazimu nipelele gereji pesa initoke
Sitarudia tena kuacha gari kwa mtu asie jali.
Kwani wingi wa gari sio magari?? Kama jibu ni ndiyo basi nomino gari inaangukia kwenye ngeli ya LI - YA na sentesi ya mdau (gari langu) ipo sahihi.Gari langu [emoji777]️
Gari yangu [emoji736]️
Hujaharibu, upo sahihi kabisa. Aliyekurekebisha ndiye aliyekosea!!Samahani kwa kuharibu kiswahili, tatizo ni kwamba hii lugha mi nimejifunzia shuleni. So mpaka hapo nimejitahidi sana kwa kiswahili hiki kibovu. Namshukuru Mungu kiswahili changu kibovu hakijawahi kuwa changamoto kwenye kupata fursa za kimaisha.
Lakini pia nashukuru kuona ujumbe wangu umewafikia walengwa na mnanishauri vizuri licha ya mapungufu katika lugha.
Allah, akupe kheri!
Mkuu kiswahili ulisoma kweli?Kwani wingi wa gari sio magari?? Kama jibu ni ndiyo basi nomino gari inaangukia kwenye ngeli ya LI - YA na sentesi ya mdau (gari langu) ipo sahihi.
Gari - magari
Gari langu limeharibika
Magari yangu yameharibika
Ngeli ya LI - YA