Rafiki yangu kaninunia kisa nilimuuliza "vipi wee una dada"

Rafiki yangu kaninunia kisa nilimuuliza "vipi wee una dada"

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Wakuu hashima zenu!!
Hivi wakuu sisi wanaume hua tuna nini!! Yaani nina marafiki na hua same timu hia najichanganya sana vijiweni kama nakuwa sijaenda kazini sasa katika kupiga stori za hapa na pale! Si unajua sisi wanaume huwa tukikutana asilimia kubwa stori niza mademu!! Sasa wakati huyu rafiki anapiga stori **** demu mmoja wa mtaa wa pili akawa anamsema!!mimi nikamkatiza stori nikamwuli!!hivi unajua sisi ni marafiki siku nyingi hivi "wewe una dada kweli:!! ?? Pale pale akafyonya akaondoka tangu jana hadi leo hii kanichunia!!yaani tunakaa nae mtaa mmoja hata nikitoka na gari hua nampa lifti hadi kituoni. Sasa leo nimemkuta road anatemvea mimi nikasimama nilikuwa na gari nikapiga hoi apande yeye akauchuna mi nikapiga zangu gear nikatembea!!hivi wakuu kumwuuliza hivyo tuu nimekosea kwani???
 
Back
Top Bottom