Rafiki yangu kapendwa na bibi wa miaka 77, nimshauri vipi?

Soma tena...usikurupuke, kanionesha chatting zake na ananiuliza ushauri mi nimeshindwa maana anaelekea anataka tu legitimacy aendelee nae mi upande wangu naona hafai.
We dume unahitaj rungu kwanza ..kwann unafatilia mambo ya watu vijana wa sasa mna u delicious sana ......mambo ya watu unafungulia uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni shida hapo, mid 20's na 43 sio issue kabisa. Japo ajue kuwa hakuna future hapo, asijiingize mzima coz hata huyo mama anajua kabisa huyo dogo ni wa kumpa furaha ya mda tu.

Nikiwa 18yo 'nilibakwa' mdada alikuwa miaka kumi zaidi yangu, na nilienjoy tu, miaka hiyo hata wazo la kusema nipo nae kimaslahi halikuwepo coz then pesa haikuwa kipaumbele sana.

Let him go for her if he feels it's right.
 
@Eli79,Ulibakwa halafu ukaenjoy?

Uongo huu. Jamaa kaambiwa atazaliwa mtoto 1 sasa hiyo sio moja ya future? Hujui lazima atahusika kulea kama baba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulibakwa halafu ukaenjoy?
Uongo huu. Jamaa kaambiwa atazaliwa mtoto 1 sasa hiyo sio moja ya future? ?? Hujui lazima atahusika kulea kama baba?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni shida kusoma habari ukiwa na negativities kichwani, kuwa huru, soma then utaelewa. Hata huoni hizo marks hapo!! Una shida ya uelewa mkuu.
 
Nop nimeuliza tu.

Maana unaweza ukasema hawa vijana wanataka kulelewa na wamama kumbe vice versa tu ni "mapenzi tu" ukute pia wao wanaonga hao majimama wanawalea hata wakiongwa ni maamuzi tu

Ndo maana nikakupa mfano nikakwambia Emanuel macron kaoa ji mama inamaana jimama ndo linamlelea raisi wa France ? waache watu wapendane bibie Mishil [emoji3]
Kwa hiyo huyo ndio rolmodo wenu? Na hivyo vibinti pia

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…