Rafiki yangu kapendwa na bibi wa miaka 77, nimshauri vipi?

Wa 77 unamuita bibi[emoji28][emoji28]je wa 53 huko’

Faizaf utamuitaje[emoji23][emoji23]
 
Mwambie apige papuchi kwa ufundi mzur au kama una namba yake hyo bibi mm huwa nawatfta sana hao tuma namba nimshaur
Wakuu, nipo na jamaa hapa ananionesha chatting zake na maza wa miaka 43 anampenda jamaa kinyama na yupo tayari kumsapoti kimaisha jamaa.

Jamaa ni 20's-30. Na anajishauri akubali au aibu kwa watu.

Bi mkubwa anamwambia yupo tayari kumzalia mtoto 1 tu na atampa sapoti kupata kazi ya kudumu.

Jamaa afanyeje unadhani? (Mi nacheka tu nimeshindwa cha kumwambia) maana daaah, maza wa 77 una-date naye kiaje, hata feelings zitakuja kweli? (Hapo we ni mid 20's)

Sent using Jamii Forums mobile app

Age is just a number
 
Hahaha
 
Kama bibi yupo nyema, poa tu!
 
Back
Top Bottom