Rafiki yangu kasababisha nimekosa mbususu hivi hivi kizembe

Rafiki yangu kasababisha nimekosa mbususu hivi hivi kizembe

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Kuna papuchi nimekuwa nikiifukuzia na kuiomba kuichakata ni mwezi wa tano sasa. Juhudi zangu zote hazikuzaa matunda mbali na kuhonga sana, kutumia muda wangu ipasavyo.

Katika harakati za kukata tamaa, binti wa watu akaniahidi kunifanyia surprise! Siku ya juzi usiku, kwa mara ya kwanza, binti alinipigia simu mwenyewe na kunitaarifu kama siku ya kesho yake ningepata muda, nikamjibu nitakuwa free mida ya asubuhi. Siku ya jana nilisubiri sana kuanzia asubuhi hadi mida ya saa tisa lakini sikuona chochote, "kumbe surprise yenyewe ndo hii ya kutekana attention" niliishia kujisemea hivyo kimoyomoyo!

Mida ya saa 10 jioni nilitembelewa na mshkaji. Tuliishia kucheza PS ndani kwangu mpaka mida ya saa 12 kasoro, mida hiyo nilishtushwa na binti nilitemtamani kwa muda mrefu zaidi akibisha hodi! Nilipotoka nje, tulisalimiana ndipo kuniuliza kuwa humo ndani niko na nani? Nikamjibu rafiki yangu! Akasema hawezi ingia, tukae hapa hapa nje! Binti akaanza kwa kunieleza kuwa siku ya kesho atakuwa na safari ya kuelekea mkoani na hadhani kama atarudi tena huku!

Muda huo simu yangu ilikuwa busy kumtumia text mshkaji wangu humo ndani ili afungashe kilicho chake atokomee mbali ili nivute chombo ndani nipate mema ya nchi na kuusifu uumbaji mwema wa mwenyezi, maake sio kwa umbo lile, kama kashushwa toka mbinguni, mwili fulani hivi wa nane mbichi uliopakawa rangi ya olive, akicheka sasa, mkuyenge wote unasoma 5G+, bila kusahau zile za "staki bbhwannnaaa, nache huko" alooo, utajikuta suruali inaanza kulowana taratibu! Mshike kiuno sasa uone anavyoruka mita sita, Aisee!

Mlio wa sms kuashiria kuingia kwenye simu ya huyu rafiki yangu ulisikika vyema, hata delivery reports kwenye simu yangu ziliambatana na sms zile, lakini huwezi amini hakuna reaction wala action yoyote iliyochukuliwa na rafiki yangu. Nusu saa baadae niliingia ndani na kumkuta rafiki huyo mnafiki akiwa kajilaza kwenye kisofa changu huku akinambia kuwa miguu yake imepatwa ganzi na kuishia kuikunja sura yake mithili ya mwanadada aliyelamba ndimu ya viwandani!

Niliishia kulaumu kwa sauti ya juu huku nikichungulia wallet yangu kuona kama ninaweza kuwa na 20k ili nielekee Guest House na mtoto huyo mzuri. Nilijaribu kuzungumza na binti kama ombi langu la kwenda nae nyumba ya wageni litakubaliwa, aliishia kucheka na kunambia yeye si mtu wa hivyo na wala hakuja hapo kwangu kwa lengo la kufanya mapenzi! Nilirudi ndani kumshtua mshkaji aende akaugulie maumivu kwake, lakini wakati natoka nje kwa mara nyingine SIKUMKUTA binti! Kilichofuata sasa... naomba niishie tu hapa

Binti kasafiri leo asubuhi, tumuombe afike salama huko aendako. Na autumikie vyema mkuyenge atakaokutana nao huko!
Amen!
 
Umeonyesha udhaifu sana na hukupaswa kuleta huo uzi humu....miezi mitano ? Modo geze!!
 
Kuna papuchi nimekuwa nikiifukuzia na kuiomba kuichakata ni mwezi wa tano sasa. Juhudi zangu zote hazikuzaa matunda mbali na kuhonga sana, kutumia muda wangu ipasavyo.

Hawa ndio wanao tuchomesha tulishakubaliana kuwa mwisho siku saba uwe umesha eat and run hawa vijana wa siku hizi wajingajinga
 
1660736940438.png
 
Ukweli inauma sana.Ukizingatia mshikaji kumfukua mtaro ni dhambi nyingine basi unabaki kusema kummmk0!
 
Intruder alert! All systems clear....ready to engage! I repeat...intruder alert!
 
Dah [emoji3064][emoji3064]
Huenda huyo rafiki yako alikuwa anamtaka ila alishindwa kumfungukia (Midogo zege mmekutana)
 
Back
Top Bottom