mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
IPO hivi ,Nina mshikaji wangu flan mwanangu sana , yeye amebahatika kufanya biashara tu yaani Toka ukinga akiwa mdogo sana yeye ni biashara tu .
Sasa kilichotokea wanavyodai alizama kishirikina kwenye duka la wajomba zangu ( wakinga) then akakamatwa kishirikina kikaitishwa kikao Cha wachache akapigwa fain akachiwa .
Kila nikimuangalia mshikaji alivyo bishoo inanishangaza sana na nimemuliza kanijibu kiufupi kuwa uchawi ni Imani ya kazi tu. Imenitisha sana kuwa kumbe nashinda na mchawi .
Hapa sielewi ntaishije naye nikimbuka alivyokuwa anawatolea shit watu aliokuwa anadai ni wachawi inashangaza sana