Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie akufundishe basiIPO hivi ,Nina mshikaji wangu flan mwanangu sana , yeye amebahatika kufanya biashara tu yaani Toka ukinga akiwa mdogo sana yeye ni biashara tu .
Sasa kilichotokea wanavyodai alizama kishirikina kwenye duka la wajomba zangu ( wakinga) then akakamatwa kishirikina kikaitishwa kikao Cha wachache akapigwa fain akachiwa .
Kila nikimuangalia mshikaji alivyo bishoo inanishangaza sana na nimemuliza kanijibu kiufupi kuwa uchawi ni Imani ya kazi tu. Imenitisha sana kuwa kumbe nashinda na mchawi .
Hapa sielewi ntaishije naye nikimbuka alivyokuwa anawatolea shit watu aliokuwa anadai ni wachawi inashangaza sana