mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
IPO hivi ,Nina mshikaji wangu flan mwanangu sana , yeye amebahatika kufanya biashara tu yaani Toka ukinga akiwa mdogo sana yeye ni biashara tu . Sasa kilichotokea wanavyodai alizama kishirikina kwenye duka la wajomba zangu ( wakinga) then akakamatwa kishirikina kikaitishwa kikao Cha wachache akapigwa fain akachiwa . Kila nikimuangalia mshikaji alivyo bishoo inanishangaza sana na nimemuliza kanijibu kiufupi kuwa uchawi ni Imani ya kazi tu. Imenitisha sana kuwa kumbe nashinda na mchawi . Hapa sielewi ntaishije naye nikimbuka alivyokuwa anawatolea shit watu aliokuwa anadai ni wachawi inashangaza sana
Kumbe unamjua hahahahahhashhsshhshsjMsalimie huyo rafiki yako maswitule aka nyambuda al-qaeda!🤣🤣🤣🤣
Jamaaa alikuwa anaroga watu au vp mkuu??Msalimie huyo rafiki yako maswitule aka nyambuda al-qaeda!🤣🤣🤣🤣
Vituko vya wakinga huviwezi mkuu.Tantalising community.Jamaaa alikuwa anaroga watu au vp mkuu??
Kabisa uchawi ni imami. Kuacha ni ngumu. Kuwa naye makini.IPO hivi ,Nina mshikaji wangu flan mwanangu sana , yeye amebahatika kufanya biashara tu yaani Toka ukinga akiwa mdogo sana yeye ni biashara tu . Sasa kilichotokea wanavyodai alizama kishirikina kwenye duka la wajomba zangu ( wakinga) then akakamatwa kishirikina kikaitishwa kikao Cha wachache akapigwa fain akachiwa . Kila nikimuangalia mshikaji alivyo bishoo inanishangaza sana na nimemuliza kanijibu kiufupi kuwa uchawi ni Imani ya kazi tu. Imenitisha sana kuwa kumbe nashinda na mchawi . Hapa sielewi ntaishije naye nikimbuka alivyokuwa anawatolea shit watu aliokuwa anadai ni wachawi inashangaza sana
Uchawi wa kuua mkuuNahitaji mtu wa kunifundisha uchawi, nitamlipa
nimechoka kurudishwa nyuma na wachawi nataka na mimi niwe mmoja wao
Uchawi wa kuua mkuu