Rafiki yangu katumiwa video WhatsApp na aliekua na bifu naye akimla demu wake, je afanyaje?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Inauma sana kumuona yule unayempenda akitoa penzi kwa mwengine hasa akiwa adui yako, nazungumzia unaempenda kweli kweli sio hawa ambao tupo nao ilimradi tu.

Basi kuna kisa kimempata rafiki yangu, Kwa sasa ana stress nyingi mno, Kaachiwa jeraha kubwa sana moyoni, hata kula ni shida, hana furaha, ni mtu wa masikitiko tu.

Ipo hivi rafiki yangu huyu aligombana na jamaa flani anaitwa Jose, kuna fremu rafiki yangu aliipenda ila hii fremu ilikuwa inatumika na Jose ila huyu Jose alikuwa halipi kwa wakati malipo ya kodi ya fremu kitu ambacho mpangaji huwa hapendi, Rafiki yangu aliipenda hio fremu kwahiyo alitumia nguvu ya pesa kumtoa Jose kwenye hio frem, Jose akajua aliemtoa hapo ni rafiki yangu na ndipo ugomvi ulipoanza, Jose alikuwa amechukia sana alivyonyanganywa frem.

Wakati hili bifu likiendelea. Jose alikuwa anamnyatia demu wa rafiki yangu kisiri siri.

Sasa Jumamosi iliyopita, Kuna namba ya china ilitumika kumtumia rafiki yangu video, Video ilikuwa inaonyesha girlfriend wa rafiki yangu kalaliwa (kifo cha ***) huku jamaa anampa mikito, Sura ya Mwanaume ilikuwa haionekani maana alikuwa anaangalia pembeni, Ule mwili ukiucheki fasta tu unagundua ni Jose kulingana na rangi ya ngozi na umbo.

Haikuishia hapo ila hio video ilitumwa pamoja na message za kumtukana na kumdhihaki rafiki yangu zikiashiria kimafufumbo kwamba ni kisasi cha ile Fremu.

Rafiki yangu alikuwa na mipango mikubwa sana na huyu Girl Friend wake maana wamedumu kwa zaidi ya mwaka, Rafiki yangu alimpenda sana na kumjali sana.

Yani navyoongea kwa sasa huyu rafiki ni kama gogo tu, Inamuuma sana kitendo alichofanyiwa na Jose, Inamuuma sana anavyomuona Jose anavyommega Girl Friend wake ambae alimpenda sana na hata kwao walikuwa wanamjua huyo girlfirend.

Kiukweli rafiki yangu kaumia sana
 
Flemu inaweza kuwa isiwe sababu ya jamaa kummega demu, sema huyo jamaa inaonekana hata bila hiyo flemu angemtafuna tu huyo demu ila hata wewe mleta mada human uhakika kama huyo Jose ndio anammega kuwa siriaz kidogo basi
 
Sasa una pesa mpaka unamwamwisha mwenzako bado unakonda sababu ya demu? Nenda pale CBE au IFM ukajichagulie mwingine
 
Pole sana Jose, wahuni sio watu wazuri
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa hiyo unataka kusema jamaa ndio kafunga mwaka kwa style hiyo.....kikubwa kuvuka mwaka
 
Sasa kinachompa shida huyo rafiki yako ni kipi? Demu wake kuliwa, Demu wake kuliwa na Jose, ama kutumiwa hiyo video? Bila kujua hilo huwezi tatua tatizo lake.
 
Tuwekee picha tuone kama ni tukio la kweli
 
Aipandishe youtube
 
Mwambie rafiki yako amtafute mnyonge ammegee... haipunguzi machungu ila inaongeza uwezo wa kiume...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…