Rafiki yangu katumiwa video WhatsApp na aliekua na bifu naye akimla demu wake, je afanyaje?

Kufanana na Josee au sio?
Kwani angekataliwa video angeipata wapi?

Haimaanishi video ni sahihi, but nachokataa ni kupeleka lawama kusiko.
Jose kaomba kakubaliwa, kosa lake nn?
 
Kwani angekataliwa video angeipata wapi?

Haimaanishi video ni sahihi, but nachokataa ni kupeleka lawama kusiko.
Jose kaomba kakubaliwa, kosa lake nn?
Nami nikakujibu kosa laKe kuhisiwa kufanana na Alice kwenye video
 
Post yako imeharibika pale tu uliposema 'rafiki yako alitumia nguvu ya pesa kumwondoa Jose'. Inagawa Jose alikuwa halipi kodi kwa utaratibu wa mkataba lakini hilo ni suala la wawili walioingia mkataba wa kupangishana.

Pili. Kama huyo dada siyo mke, basi jua yeyote bila kuitwa Jose anaweza kumtafunaa. Inawezekana pia aliyefanya hivyo siyo Jose, lakini kwa sababu ya uhasimu uliopo ni rahisi kumshukia yeye
 
Aaah alimudu kutumia pesa kunyang'anya fremu kwasababu Jamaa hana uwezo, na yeye hana uwezo wa kumiliki huyo mtoto pengine upepo ni bila bila so akubali kwamba hawezi kumiliki kila kitu.

Hakuna jipya zaidi ya kutemana na manzi, rahisi tu mbona
...Mshauri rafiki yako ammwake Hugo manzi wake. Hafai.
Ninaamini kuwa alikuwa ana mueleza kila hatua ya Ugomvi wa frame na Jose.
Kama Manzi amefikia kumgaia Jose kijaluba chake wakati anajua kwamba Jose ni adui wa Bwana take, yaani rafiki yako, basi hafai na Mungu ametumia njia zake ili kumuepusha rafiki yako na Malaya Hugo.

Na ashukuru. Angeweza pia kutumiwa Video akiliwa Tigo.
Sio ndio rafiki yako angekufa kabisa??
 
Kabisa mkuu na akijikuta mahaba niue atakuja kukubali yatakayomkuta, kwanza utakaaje na manzi ambaye ukimuangalia unakumbuka aliyokutendea aisee???
 
Video ina dk ngap..maana kadir dk znavyokua nying ndo maumiv jw mtoa mada yanazid
 
Kwahiyo unataka sisi tufanye nini? Acha umbea wako!
 
Hebu tuachane na hii ishu yako, maana tunajua hakuna cha rafiki yako wala nn, huu mkasa ni ww!

Hebu waungwana mwenye connection ya video ya Esther Matiko akinyanduana anitumie PM, natanguliza shukrani zangu za dhati,
Wako mtiifu
Ukiipata nitumie DM ,dhambi kushirikishana bhn
 
Tit for tat!!! Hizo ni tabia za huyo mwanamke. Aamke ajifunze kwenye hilo asonge na mipango mikubwa zaidi ya uwekezaji. Asiwe kama crying-baby cramper.
 
Badala ya kutafuta pesa, analialia kisa demu ambaye picha inaonesha anamegwa.
Pole yake. Sijawahi kupenda na sitapenda
 
Mwambie mabaharia hatuumiagi kwa sababu ya wanawake,amtafte demu wa jose naye amle tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…