Rafiki yangu katumiwa video WhatsApp na aliekua na bifu naye akimla demu wake, je afanyaje?

Rafiki yangu katumiwa video WhatsApp na aliekua na bifu naye akimla demu wake, je afanyaje?

K yake
Kagawa kwa matakwa yake
Mauno anapiga yeye
Mashine kanyonya yeye
Kila shuruba kapata yeye.

HONESTLY WEWE INAKUUMA NINI NA MTU ASIYE MKEO?

#PIGA CHINA.

#YNWA
Si umeona jamaa kasema mshkaji alikua na mipango mingi juu yake.Kupata mwanamke sahihi sio kazi rahis so lazima ikuume tuu.
Usichukulie simple kihivyo mkuu
 
Mwenye kaya aliwahi kusema hivyo
Akimwambia mkurugenzi wetu wa jiji Dom. Aoe.
Nanukuu
"Wasichana wapo wengi tu ,wengine CBE wengine UDOM sasa unashindwa wapi kuoa mmoja"??
😁😁
 
Kisasi kwa kisasi kwanini ulete figisu figusi kwenye maisha ya watu wakati unajua kuna kahaba pembeni yako???

Fukuza huyo mwanamke kwanza ni bora kabisa amejua mwanamke wa maana hana ili sasa atumie hiyo fremu kufanya mambo ya msingi,simple..

Anget*mbwa kwenye ndoa si ungechanganyikiwa zaidi.Hamna kitu cha kushukuru kama ukigundua mapenzi ya mtu ambaye ulidhani ni bora kwako sio bora yaani n bonge la faida.Tunaita second chance ya kuchagua bora zaidi.
 
Si umeona jamaa kasema mshkaji alikua na mipango mingi juu yake.Kupata mwanamke sahihi sio kazi rahis so lazima ikuume tuu.
Usichukulie simple kihivyo mkuu
Asante sana kwa kuelewa mkuu, Yani watu humu ndani inaelekea wao wanaishi na wanawake kwajili ya kujipooza miili tu ndio maana kwao kuachana si kitu,

Jamani kuna wanawake sio kwajili ya mechi tu, Mwanamke unakuwa na malengo nae makubwa sana awe msaada katika life yako huyu sio rahisi tu kumuacha bila kuumia,
 
Aiseeh!! Toka jana nazunguka kutafuta kideo cha dada yetu mbunge sikipati kabisa, siku hizi konekseheni imekuwa tatizo sana.
 
Inauma sana kumuona yule unayempenda akitoa penzi kwa mwengine hasa akiwa adui yako, Nazungumzia unayempenda kweli kweli sio hawa ambao tupo nao ilimradi tu.

Basi kuna kisa kimempata rafiki yangu, Kwa sasa ana stress nyingi mno, Kaachiwajeraha kubwa sana moyoni, hata kula ni shida, hana furaha, ni mtu wa masikitiko tu.

Ipo hivi rafiki yangu huyu aligombana na jamaa flani anaitwa Jose, Kuna fremu rafiki yangu aliipenda ila hii fremu ilikuwa inatumika na Jose ila huyu Jose alikuwa halipi kwa wakati malipo ya kodi ya frem kitu ambacho mpangaji huwa hapendi, Rafiki yangu aliipenda hio frem kwahio alitumia nguvu ya pesa kumtoa jose kwenye hio frem, Jose akajua aliemtoa hapo ni rafiki yangu na ndipo ugomvi ulipoanza, Jose alikuwa amechukia sana alivyonyanganywa frem.

Wakati hili bifu likiendelea, Jose alikuwa anamnyatia dem wa rafiki yangu kisiri siri.

Sasa jumamosi iliyopita, Kuna namba ya china ilitumika kumtumia rafiki yangu video, Video ilikuwa inaonyesha girlfriend wa rafiki yangu kalaliwa (kifo cha ***) huku jamaa anampa mikito, Sura ya Mwanaume ilikuwa haionekani maana alikuwa anaangalia pembeni, Ule mwili ukiucheki fasta tu unagundua ni jose kulingana na rangi ya ngozi na umbo.

Haikuishia hapo ila hio video ilitumwa pamoja na message za kumtukana na kumdhihaki rafiki yangu zikiashiria kimafufumbo kwamba ni kisasi cha ile Fremu.

Rafiki yangu alikuwa na mipango mikubwa sana na huyu Girl Friend wake maana wamedumu kwa zaidi ya mwaka, Rafiki yangu alimpenda sana na kumjali sana.

Yani navyoongea kwa sasa huyu rafiki ni kama gogo tu, Inamuuma sana kitendo alichofanyiwa na Jose, Inamuuma sana anavyomuona Jose anavyo mmega Girl Friend wake ambae alimpenda sana na hata kwao walikuwa wanamjua huyo girlfirend.

Kiukweli rafiki yangu kaumia sana
Huwa hamsikilizi bongo fleva. Imeimbwa kwamba kumegewa ni Siri ya ndani. Kama vipi na wewe tafuta mnyonge mmegee. Mtoto acha kupiga mayowe, uacha watu waone wenyewe.
 
Ningalikuwa Mimi ningamuambia huyo Jose "KAPIME UTAKUTA ULICHOKITAFUTA" naweka na emoj za kucheka namalizia na kaujumbe haka kwa chini "RIP JOSE"
 
Back
Top Bottom