Rafiki yangu katumiwa video WhatsApp na aliekua na bifu naye akimla demu wake, je afanyaje?

Rafiki yangu katumiwa video WhatsApp na aliekua na bifu naye akimla demu wake, je afanyaje?

Tuanzie hapo alijiuaje km ni jose ndo aliekuwa anamla demu wake atupe uthibitisho na io ndio evidence mbali na hapo naweza sema hii thread ni ya kipuuz na imetungwa nyuma ya keyboard
nenda kwenye site www..... utaona au mtafute jamaa anaitwa mrangi humu mwambie akupe link za telegram then urud humu
 
Zamani watu walikuwa wanasikia tu kwamba fulani anatembea na dem wako lakini siku hizi unajionea live kabisa tena kwa maksudi kabisa jamaa anakutumia video.

Navyoongea gapa rafiki yangu ana stress, stress, stress nyingi nyingi mno, hata kula shida, kulala kwa shida, yani hii hali imedumu zaidi ya wiki.

Rafiki yangu huyu aligombana na jamaa flani anaiwa Jose, ilikuwa ni ishu ya rafiki yangu kutumia nguvu ya pesa kumnyanganya fremu ya biashara huyu Jose ambae alikuwa hajailipia miezi mitatu, Sasa ndo ukaibuka ugomvi mkubwa kati yao.

Wakati hili bifu likiendelea, Jose alikuwa anamnyatia dem wa rafiki yangu kisiri siri.

Sasa jumamosi iliyopita, Kuna namba ya china ilitumika kumtumia rafiki yangu hio video, Sura ya Jose haionekani kwasababu yeye alikuwa haiangalii kamera ila dem ndo alikuwa anaonekana sana

Mbali na hio video kuna message alizotuma jose za kumtukana na kumdhihaki rafiki yangu zikiashiria wazi kwamba ni kisasi cha jose ,kwa kutumia namba hio hio ya kichina

Rafiki yangu alikuwa na mipango mikubwa sana na huyu Girl Friend wake maana wamedumu kwa zaidi ya mwaka, Rafiki yangu alimpenda sana na kumjali sana.

Yani navyoongea kwa sasa huyu rafiki ni kama gogo tu, Inamuuma sana kitendo alichofanyiwa na Jose, Inamuuma sana anavyomuona Jose anavyo mmega Girl Friend wake ambae alimpenda sana na hata kwao walikuwa wanamjua huyo girlfirend.

Kiukweli rafiki yangu kaumia sana
Vijana wa siku hizi,tabu sana,yaani demu wako analiwa,wewe unapata msongo wa mawazo,!!!??
Wanawake wapo kibao,
 
Utoto ni raha sana,sasa K sio yako uchungu usikie wewe kweli!!huu ni zaidi ya ufala,na bado unasema una hela na biashara unafanya jinga sana ,nenda kachague totoz kali pale maeneo ya chuo yakufute machozi kizungu
 
nenda kwenye site www..... utaona au mtafute jamaa anaitwa mrangi humu mwambie akupe link za telegram then urud humu
Aweke video hapa hapa km anahitaji ushaur wetu kisheria au anitumie inbox nione kisha ntamshaur kisheria km io kesi anashinda au la ?
 
Zamani watu walikuwa wanasikia tu kwamba fulani anatembea na dem wako lakini siku hizi unajionea live kabisa tena kwa maksudi kabisa jamaa anakutumia video.

Navyoongea gapa rafiki yangu ana stress, stress, stress nyingi nyingi mno, hata kula shida, kulala kwa shida, yani hii hali imedumu zaidi ya wiki.

Rafiki yangu huyu aligombana na jamaa flani anaiwa Jose, ilikuwa ni ishu ya rafiki yangu kutumia nguvu ya pesa kumnyanganya fremu ya biashara huyu Jose ambae alikuwa hajailipia miezi mitatu, Sasa ndo ukaibuka ugomvi mkubwa kati yao.

Wakati hili bifu likiendelea, Jose alikuwa anamnyatia dem wa rafiki yangu kisiri siri.

Sasa jumamosi iliyopita, Kuna namba ya china ilitumika kumtumia rafiki yangu hio video, Sura ya Jose haionekani kwasababu yeye alikuwa haiangalii kamera ila dem ndo alikuwa anaonekana sana

Mbali na hio video kuna message alizotuma jose za kumtukana na kumdhihaki rafiki yangu zikiashiria wazi kwamba ni kisasi cha jose ,kwa kutumia namba hio hio ya kichina

Rafiki yangu alikuwa na mipango mikubwa sana na huyu Girl Friend wake maana wamedumu kwa zaidi ya mwaka, Rafiki yangu alimpenda sana na kumjali sana.

Yani navyoongea kwa sasa huyu rafiki ni kama gogo tu, Inamuuma sana kitendo alichofanyiwa na Jose, Inamuuma sana anavyomuona Jose anavyo mmega Girl Friend wake ambae alimpenda sana na hata kwao walikuwa wanamjua huyo girlfirend.

Kiukweli rafiki yangu kaumia sana
1: angemwambia atumiye kondomu asije kakwaa wire Kama yeye. Amwambiye anamupenda sana rafiki yake lakini atumiye condom.

2: wanawake or mabinti wa siku hizi ni Bora kuwatambulisha kwa ndugu,nyumbani dakika za mwisho miezi miwili au mitatu , maana lolote laweza tokea. Mabinti siku hizi hawaaminiki kabisa. Waweza jikuta unatambulisha kila mwaka mpaka jamii familia wakakuona hamunazo.

3. Tafuta kifaa kizuri zaidi upoteze kumbukumbu za huyo wa mwanzo.

4. Ukitaka kukata mzizi wa fitina kabisa tumia number nyingine forward hizo video picha kwa familia ya huyo binti Kaka, dada, Mama, baba , mjomba zake akili zitamukaa sawa.
 
Ngoja nkae attention, niweke connection vzr kitu inaeza dondoshwa mda wowote
 
Flemu inaweza kuwa usiwe sababu ya jamaa kummega demu sema huyo jamaa inaonekana hata bila hiyo flemu angemtafuna tu huyo demu ila hata wewe mleta mada human uhakika kama huyo Jose ndio anammega kuwa siriaz kidogo basi
Hata Kama sio Jose lakini siameshamegwa [emoji16][emoji16]
 
Hebu tuachane na hii ishu yako, maana tunajua hakuna cha rafiki yako wala nn, huu mkasa ni ww!

Hebu waungwana mwenye connection ya video ya Esther Matiko akinyanduana anitumie PM, natanguliza shukrani zangu za dhati,
Wako mtiifu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ukitumiwa hiyo clip namimi nitumie

Hivi ndio vitu muhimu tunavyopaswa kudiscus hapa
 
Ukisoma malalamiko ya Jf kila muda, unaweza kujikuta unamuona mke wako pia hafai...sina cha kusema zaidi ya FIVE AGAIN.
Kweli kweli ... Na hauwezi kuyaweza mahusiano hata siku1 yaani uki apply maneno ya humu na kuyaishi katika maisha yako aisee hautodumu na mtu

All in all naipenda Jf
 
Back
Top Bottom