Rafiki yangu mlokole aokota milioni moja, aipeleka polisi

Rafiki yangu mlokole aokota milioni moja, aipeleka polisi

Amefanya vzr maana hizo ni nyara za serikali
 
Anakukataza usipige mitungi wakati yeye mwenyewe anatumia kilevi cha dini WTF?

It's Scars
 
Hamjachelewa nendeni POLISI mkazichukue sema za huyo shost MuOrombo. Kama mtaogopa na njia hiyo basi muamini Mungu yupo hata kwenye pombe zenu maana imeandikwa Uongo kwenye pombe ni dhambi mara mbili, na kosa kuu kumnywesha mwenzio ili muuone utupu wake.

😀 😀 😀 😀 😀 😀 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️😛😛😛😛 jokes
 
Wewe Imani yako hutaki akuingilie ila ya kwake unamwingia uko sawa wewe kweli
Mathayo 7:1212 Basi yo yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo torati na manabii.
 
Back
Top Bottom