Rafiki yangu mlokole aokota milioni moja, aipeleka polisi

Rafiki yangu mlokole aokota milioni moja, aipeleka polisi

Kumbe kupiga maji na, kunywa maji ni vitu viwili tofautii [emoji1787][emoji1787]

Kiswahili [emoji573][emoji573]
 
Hivi kwa nini madada wa Chuga mnapenda kuwa wabishi?.

Ila Bushmamy story zako zakibabe tu, vipi ulinyoa rasta zako zilizokuwa zimakupa nguvu kama simba?.
 
No offense kwa nyie wenye Imani zenu nying mnoo,
Hivi kwanni mkishaenda huko akili zenu huwa hamrud nazo nyumbani maana sjui mnakuaje aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungemsikiliza ile asubuhi ndiyo ungempa ushauri mzuri, sasa nawewe uliamka nazo haaa haaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu hakunaga mlokole wa hivyo, huyo atakuwa na matatizo yake kichwani, bora hata angepeleka kanisani na hata kanisani Mchungaji mwenyewe awe Mchungaji maana wengine ni wachungashishaji[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa bado umelewa,au mimi ndiyo naanza kulewa,au jamaa yako alikuwa amelewa,maana hapa nahisi ulevi ulevi tu!! Kama vile unamlewesha aliyelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu hakunaga mlokole wa hivyo, huyo atakuwa na matatizo yake kichwani, bora hata angepeleka kanisani na hata kanisani Mchungaji mwenyewe awe Mchungaji maana wengine ni wachungashishaji[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi urafiki nae ndo umeisha hivo. Staki mimi
 
Hello wakuu, leo nimesikitika ajabu, nina rafiki yangu ni mlokole kanisani anaendaga mara nne kwa wiki.

Urafiki wetu una kama miezi kadhaa, urafiki wetu una Changamoto kidogo kwani mara nyingi amekuwa akinisihi niache kupiga maji badala yake niwe nakunywa maji au soda kitu ambacho sitaki hata kusikia. Basi juzi kati nikamwambia kama vip urafiki uishe, maana amekuwa akinishawishi nihame Katoliki nihamie huko kwenye ulokole wake nikaona bora nimpe block la kufa mtu.

Jana jioni nimekaa duka la jirani nipo na shost yangu mmoja tunatandika maji huku tunachanja (kitu OG toka Nairobi) akapita hapo akaniomba msamaha na blah blah kibao basi nkamuashia taa nyekundu kuwa staki mazoea aniache kama alivonikuta, akaenda kulia mbele huko.

Shost yangu niliyekuwa napiga nae gambe ananiuliza Bushmamy umetoka wapi na vichaa maana walokole ni kama vichaa tu, nikamwambia apotezee na asijali. Basi tukachanja pale rumbesa zetu hadi saa tano basi kila mtu akasepa zake kulaza mbavu.

Asubuh nasikia Hodiii nyingi kusikiliza sauti vizuri ni ya mlokole nikamtonya dadabush a mwambie Bushmamy ameelekea Namanga. Basi akasepa zake. Jioni namchek shost yangu Mama V, kuwa nna mzigo fresh tukutane kwa Mangi kama kawaida huku tunashushia moja moto moja baridi, sijakaa hata dakika kumi mlokole kaja kaniita pembeni na haya ndo mazungumzo yake.

"Bushmamy asubuhi nilikuja kwako nkakukosa nilitaka ushauri wako maana si unajua nimempokea Yesu kuwa Bwana na mwakozi wangu? Nikamwambia eeeehhh kwa hiyo? Anaendelea kusema asubuhi baada ya maombi nikaenda dukani kabla sijafika nikaona bashasha barabarani imetuna halafu mpya roho wa Mungu akaniambia niokote kucheki hivi ndani ina hela nyingi ndiyo nkarud ndani kwenda kuhesabu hata dukani sikwenda tena, baada ya kuhesabu nkakuta kuna milioni moja na laki mbili ndani sasa nikaja kwako unipe ushauri nipeleke kanisani kwetu kwa mchungaji au polisi?

Sasa nilikukosa ikabidi niende polisi watangaze kwenye vyombo vya habari ili mwenyewe apewe huku ananipa na mistari ya kwenye Bible, mara sijui mwenye haki atainuliwa n.k.

Aisee pombe yote ilikata nikampa teke akaanguka kule nikamuacha hapo analia. Narudi mezani alipo shost yangu, yeye ni Mrombo anauliza nini shida mbona nimempa mtama rafiki yangu tena mmachame mwenzangu, nikampa full stori aisee alinyanyuka kwa hasira na K Vant yake akaenda kumnywesha kwa hasira na makofi juu hadi watu wakaingilia kati wanauliza nini hakuna alietoa jibu, tulishindwa hata kuendelea kunywa tukasepa zetu kila mtu kwake kulala hadi sahiv hatujaonana.
Huyo sio mlokole Bali ni mpuuzi. Si bora hata angetoa fungu la kumi hapo akapeleka kanisani kwa mapato aliyopata.
 
Yaani uache kupiga maji alafu kakushauri uwe unakunywa maji na soda.
 
Back
Top Bottom