Rafiki yangu ni mapenzi kwa mkewe yalimzidia au ulimbukeni?

Hikua busara wala hakufanya ustaarabu kwakweli
 
Kweli kabisa NAHUJA
 
Hayo yanatokea, nakumbuka majuzi nilipata kazi serikalini pamoja na kaka YANGU ila mikoa tofauti. Kila mmoja akaenda mkoa aliopangiwa. Itabd bro amlete mkewe aishi kwangu na mke wangu. Ila alivyokuwa ana behave sikupendezwa maana ht watu wa karibu yng wakanambia. Nkamwambia bro mkewe anavyofny ila nilimuomba asimwambie, Bali amfunze tu. Basi bhn alivyoongea nae alimwaga kila kitu kwa mkewe na Mimi ndo niliyemwambia. Kinachoendelea namwachia Mungu. Ila nimejifunza kila mmj apambane kivyake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa Madame S huo ni zaidi ya ulimbukeni, maana najua hata wewe na shemeji hua mwaongea meengi na mnapeana na ubuyu wa huko duniani lakini naamini yanaishia kwenu tu wala hamyatoi nje
Hahahhaa kaka ukweli wa mambo hakunaga watu wambea kama walioko kwneye serious relationship we chunguza tu utaelewa!

Mwanaume ameumbwa kua mgumu bana, kumezea kua na koromeo, ana tabia za kike eti shemejio hana hizo habari kabisa japo me ndio namfundisha umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…