Rafiki yangu ni mapenzi kwa mkewe yalimzidia au ulimbukeni?

Rafiki yangu ni mapenzi kwa mkewe yalimzidia au ulimbukeni?

Hahahhaa kaka ukweli wa mambo hakunaga watu wambea kama walioko kwneye serious relationship we chunguza tu utaelewa!

Mwanaume ameumbwa kua mgumu bana, kumezea kua na koromeo, ana tabia za kike eti shemejio hana hizo habari kabisa japo me ndio namfundisha umbea
Hahahaaa wee mfundishage tu umbea lakini naamini kama usemavyo anakoromeo la kuweka mambo
 
Hahahaaa wee mfundishage tu umbea lakini naamini kama usemavyo anakoromeo la kuweka mambo
Kuna mmoja alipewaga umbea na mwanamke wake et kwa hasira akataka kuwapigia wale awaambie alichoambiwa nilishangaa anafanana na bwana g

Huyu wangu koromeo analo zima halijaharibika kokote kaka
 
Kuna mmoja alipewaga umbea na mwanamke wake et kwa hasira akataka kuwapigia wale awaambie alichoambiwa nilishangaa anafanana na bwana g

Huyu wangu koromeo analo zima halijaharibika kokote kaka

Angalia basi dada usimu overdose na ubuyu hadi koromeo likatoboka na kuanza kuvujisha yaliyofichwa😀😀
 
Hayo yanatokea, nakumbuka majuzi nilipata kazi serikalini pamoja na kaka YANGU ila mikoa tofauti. Kila mmoja akaenda mkoa aliopangiwa. Itabd bro amlete mkewe aishi kwangu na mke wangu. Ila alivyokuwa ana behave sikupendezwa maana ht watu wa karibu yng wakanambia. Nkamwambia bro mkewe anavyofny ila nilimuomba asimwambie, Bali amfunze tu. Basi bhn alivyoongea nae alimwaga kila kitu kwa mkewe na Mimi ndo niliyemwambia. Kinachoendelea namwachia Mungu. Ila nimejifunza kila mmj apambane kivyake

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom