Hatari sana kuna huko amesema wanawake ni hatari zaidi yaa kifoNyie viumbe Mungu Aliwaumba na nguvu ya ajabu....kadri mnavyozidi kua laini ndio nguvu zenu za kutu control wanaume zinaongezeka
Ukatamani kumziba mdomo lakini ndo haikuwezekanaNimejifunza hilo kwa jasho jembambaaa, yaani unalowana mwili mzima hata kama upo kwa AC
Nakubaliana nae kwakweli, ni vile tu sometimes hamjuagi nguvu yenu, mngekua mna run dunia...chezea tam tam wewe!?
Yasikiage kwa watu tu omba yasikukute maliyamtu
Hahahaha na ni hapo tu wengi wenu huwa mnakamatika aseeeNakubaliana nae kwakweli, ni vile tu sometimes hamjuagi nguvu yenu, mngekua mna run dunia...chezea tam tam wewe!?
Ndio nature Alivyoumba Maulana hivyo. Utakuta General wa Jeshi mkali kama pilipili, akitokeza kikosini kila mtu anatafuta kazi ya kufanya kwa kumhara lakini akifika home kwake anakunishwa naziπππ
Na anatulia kabisaa no amri wala nini apo yaniNdio nature Alivyoumba Maulana hivyo. Utakuta General wa Jeshi mkali kama pilipili, akitokeza kikosini kila mtu anatafuta kazi ya kufanya kwa kumhara lakini akifika home kwake anakunishwa naziπππ
Hapo amri anapewa yeye, unafanya masiara nini!
Niko makini kaka nahidi kuahivyo daimaUsalama wake ni muhimu sana kwetu, ni vyema kama una observe safety measures
Hahahshshshshalafu leo hujanipa umbea kabisa sweetheart