Rafiki yangu upo wapi?

Rafiki yangu upo wapi?

that manzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
385
Reaction score
1,246
Habarini za jioni wakuu..
Bila shaka mko na weekend nzuri kabisa,

Kwangu mimi weekend ni mbaya nimekaa leo nikamkumbuka huyu kaka, alikuwa rafiki yangu sana tukaja kupotezana, sijui ntampata wapi namba aliyokuwa anatumia sasa inatumika na mtu mwingine na hata hamjui😥, mitandao ya kijamii yake naona hatumii tena,

Sijui yuko hai sijui amefariki (God for bid) ila nahitaji sana kumuona daah

Anyways nisiwachoshe kwa yoyote anaemfahamu anaitwa SENETA MERINYO alikua anaishi moshi sometimes Arusha…

SENETA KAMA UPO HUMU TINITOR NAKUTAFUTA SAAAAANA
MUWE NA USIKU MWEMA
 
Lazima kupita pita maeneo haya huwezi jua kumbe we ndo unatafutwa, ila baada ya kusoma nimejua sio mimi,
 
Itakua rahis kumpata kama ungetoa baadhi ya details kama shughul alikua anafanya, mara ya mwisho mlikutana mazingira yapi, baadhi ya background zake unazozijua zenye zinaweza toa mwongozo
 
Nipo hapa, nimekutafuta sana muda mrefu, nilisikia uliolewa ndio maana sikukutafuta; anyway, njoo hapa kwa mangi tupate maji ya gold kidogo 😀😀
 
Habarini za jioni wakuu..
Bila shaka mko na weekend nzuri kabisa,

Kwangu mimi weekend ni mbaya nimekaa leo nikamkumbuka huyu kaka, alikuwa rafiki yangu sana tukaja kupotezana, sijui ntampata wapi namba aliyokuwa anatumia sasa inatumika na mtu mwingine na hata hamjui😥, mitandao ya kijamii yake naona hatumii tena,

Sijui yuko hai sijui amefariki (God for bid) ila nahitaji sana kumuona daah

Anyways nisiwachoshe kwa yoyote anaemfahamu anaitwa SENETA MERINYO alikua anaishi moshi sometimes Arusha…

SENETA KAMA UPO HUMU TINITOR NAKUTAFUTA SAAAAANA
MUWE NA USIKU MWEMA
Pope sana
 
Endelea kumtafuta lazima umpate. Lakini pia unaweza kuja pm wenda nikasaidia kutafuta maana nipo moshi mda haswaa
 
Back
Top Bottom