Rafiki yangu wa kike kaibiwa iPhone ndani ya mwendokasi kivukoni

I Phone 7 mpya bado zipo kwenye market?
Mimi si mtu wa kufuatilia sana masoko ya simu so sina cha kukujibu kwenye hilo nachohitaji ni msaada kama nilivyomalizia hapo chini ya uzi
 
Ukiwa kwenye msongamano wowote iwe sokoni au kwenye mabus ya uma usithubu kuweka pesa au simu kwenye beg zen ukavaa kwa nyuma au pesa kwenye mfuko wa nyuma wa suruali,,,,,hasa ukiwa dsm.
 
Kuna babu mmoja namjua yupo tanga kama unataka kumtungeneza huyo mwizi wee njoo pm nikupe connection
 
Aliyeibiwa simu ni wewe wala hakuna cha rafiki yako wa kike,

Ndio maana umejiwahi kwa kusema kua wewe hujawahi kuibiwa kitu!

Sasa nyoosha kwanza maneno ili tukupe maujanja umnase mwizi wako live.
Ukiamini ni mimi ndie niliyeibiwa simu basi wala sihitaji msaada wako.... [emoji19]JF kila mtu hujikuta anajua kila kitu huku mnasahau huko kujifanya mnajua kila kitu ndiko kuishusha heshima yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…