Rafiki yangu wa kike kaibiwa iPhone ndani ya mwendokasi kivukoni

Rafiki yangu wa kike kaibiwa iPhone ndani ya mwendokasi kivukoni

Tatizo tunamiliki vitu vya thamani kubwa alafu tunajiachia kwenye madaladala as if tuko kwenye ndege.
Wengine wanaibiwa na ambao walikuwa wamestaafu wizi kwa kulingishiwa/kutamanishwa na muibiwaji.
Tubadilike Sasa.
 
Steve Jobs huko alipo anaangalia movie za simu zake.
Mkuu huyo hela anazo unaumia ww yeye Wala .
 
Kabisa hapo fire alishawahi ibiwa ex-sister duh kama unavyosema alitoka Gerezan
Mi Wife wangu alipigwa hapohapo fire,lakini nilimlaumu sana maana siku zote kabla ya kupanda Mwendokasi au Daladala, handbag yake iweke mbele,lakini aliniipuuza na kweli wajanja wakapita na kasimu kake ka bei ghali kisa wakati anapanda Mwendokasi kabag alikatupia mgongoni na watu waka jisevia! Ila hadi leo ana elimu Kama ya degree ya kupanda Mwendokasi,humuibi hata sindano Sasa!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Pole yake sana, iPhone hua zinashikiliwa mkononi na siyo kuwekwa kwenye begi tena la mgongoni...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni demu wake, hapo anaogopa kuingia gharana ya kununua i4n mpyaa, anataka waitafute ya zaman.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weng wanaomilik iphon ni masikin wakutupwa kuliko Alf madon ndiyo wanamiliki tecno na infinix

Kimiliki simu flan sio utajiri, kila mtu anamiliki kile anachokipenda we kama unapenda infinix miliki infinix acha kutoa povu ukiona mwenzio ana iphone siushasema mbaya kwanini unateseka
 
Back
Top Bottom