Sasa mkuu mtu ameshakuambia alikua anafanya ile kazi, huko kusema hapana atakujulia wapi?Hujui kusema hapana?!
Mwambie mtumzima secretarybird amesema acha tabia hiyo mara moja.Naombeni ushauri au neno lolote.
Hapa ninapoishi (Ubungo) nimepata mgeni wa kike.
Dada huyu alikuwa ni rafiki yangu wa huko nyuma kabla sijaachana na ile kazi ya haramu niliyokuwa naifanya kule Mori na Dodoma.
Sasa huyu mgeni kwanza nimeshangaa kapajuaje hapa ninapoishi na licha ya hivo pia nimeshangaa sana kuja kukaa hapa maana ni nadra sana kupokea mtu ambae mlikuwa hamna mazoea kihivyo.
Anyway tuachane na hayo, nimekuja hapa jukwaani kuwaomba ushauri ili nijue nafanyaje.
Huyu rafiki yangu wa ana tabia zifuatazo:
1. Anapenda sana kunisalimia kwa kunikumbatia.
Yaani hata akiniona nimetoka dukani tu huja kunikumbatia hii tabia hakuwa nayo awali.
2. Huwa nina tabia ya kutizama televisheni mpaka usiku wa manane, akigundua kama niko macho kwenye kochi basi atakuja karibu yangu na kujikunyata kifuani kwangu ili tuangalie wote movie
3. Kuna siku nilikuwa naoga bafuni (chumba changu ni self) akaomba tuoge wote nilimkubalia kwa kujua ni rafiki tu ila aliamua kuniogesha mpaka mwisho
4. Hupenda kuninunulia zawadi za chupi na sidiria. Na juzi ile kaniletea zawadi ya kikuku cha mguuni.
5. Tukilala hupenda sana tukumbatiane na huwa namuona kama anapata hisia sana.
Sasa sielewi hisia za mwanamke na mwanamke anazitoa wapi?
6. Jana katoa kali, kasema eti maziwa yangu ni magumu nisijaribu kuyafanyia plastic surgery kwani nitayaharibu, anayapenda hivohivo.
Jamani huyu dada ananifanyia vituko vingi na vingine sisemi kwani ni aibu.
Mimi sina hisia nae kabisa japo ukikaa nae nasikia mpaka mapigo yake ya moyo yanavyodunda.
Mimi nimeumbwa kwa ajili ya mwanaume na si kwa ajili ya mwanamke mwenzangu.
Naombeni mbinu ya kumtoa hapa kwangu.
Kwao anasema ni Tengeru ila alikuja Dar kutafuta maisha.
Ananisapoti sana kimaisha kwani ni mchakarikaji sana ila shida ni hiyo tu.
Naogopa ipo siku nitamkuta juu ya kifua changu nami sitaki hali hiyo itokee.
Hapa nilipo namuangalia alivyolala kwa hisia.
Najua akiamka akinikuta natizama Tv atakuja kujikunyata pembeni yangu.
Wanaume naomba muungane na wanaume wote na wanawake wa humu kunipa ushauri.
Kamba tupuNaombeni ushauri au neno lolote.

Uncle😅😅mpe tu haina madhara nasikia 😂😂😂
Almanusra usagwe!!!Siku ya kwanza huyo rafiki yangu akalala mwenyewe kitanda Cha chini lakini asubuhi alilalamika sana kwanini nilimuacha nikajiuliza kwani Kuna shida gani. Siku ya tatu mbele sikuhiyo nipo zangu kitanda Cha juu usiku wa manane nashangaa akanifuata kitanda Cha juu.
Naombeni ushauri au neno lolote.
Hapa ninapoishi (Ubungo) nimepata mgeni wa kike.
Dada huyu alikuwa ni rafiki yangu wa huko nyuma kabla sijaachana na ile kazi ya haramu niliyokuwa naifanya kule Mori na Dodoma.
Sasa huyu mgeni kwanza nimeshangaa kapajuaje hapa ninapoishi na licha ya hivo pia nimeshangaa sana kuja kukaa hapa maana ni nadra sana kupokea mtu ambae mlikuwa hamna mazoea kihivyo.
Anyway tuachane na hayo, nimekuja hapa jukwaani kuwaomba ushauri ili nijue nafanyaje.
Huyu rafiki yangu wa ana tabia zifuatazo:
1. Anapenda sana kunisalimia kwa kunikumbatia.
Yaani hata akiniona nimetoka dukani tu huja kunikumbatia hii tabia hakuwa nayo awali.
2. Huwa nina tabia ya kutizama televisheni mpaka usiku wa manane, akigundua kama niko macho kwenye kochi basi atakuja karibu yangu na kujikunyata kifuani kwangu ili tuangalie wote movie
3. Kuna siku nilikuwa naoga bafuni (chumba changu ni self) akaomba tuoge wote nilimkubalia kwa kujua ni rafiki tu ila aliamua kuniogesha mpaka mwisho
4. Hupenda kuninunulia zawadi za chupi na sidiria. Na juzi ile kaniletea zawadi ya kikuku cha mguuni.
5. Tukilala hupenda sana tukumbatiane na huwa namuona kama anapata hisia sana.
Sasa sielewi hisia za mwanamke na mwanamke anazitoa wapi?
6. Jana katoa kali, kasema eti maziwa yangu ni magumu nisijaribu kuyafanyia plastic surgery kwani nitayaharibu, anayapenda hivohivo.
Jamani huyu dada ananifanyia vituko vingi na vingine sisemi kwani ni aibu.
Mimi sina hisia nae kabisa japo ukikaa nae nasikia mpaka mapigo yake ya moyo yanavyodunda.
Mimi nimeumbwa kwa ajili ya mwanaume na si kwa ajili ya mwanamke mwenzangu.
Naombeni mbinu ya kumtoa hapa kwangu.
Kwao anasema ni Tengeru ila alikuja Dar kutafuta maisha.
Ananisapoti sana kimaisha kwani ni mchakarikaji sana ila shida ni hiyo tu.
Naogopa ipo siku nitamkuta juu ya kifua changu nami sitaki hali hiyo itokee.
Hapa nilipo namuangalia alivyolala kwa hisia.
Najua akiamka akinikuta natizama Tv atakuja kujikunyata pembeni yangu.
Wanaume naomba muungane na wanaume wote na wanawake wa humu kunipa ushauri.
Nakaziaampe tu haina madhara nasikia 😂😂😂
Dah .nipo gym umesababisha nishindwe mazoezi mkuu!!! na huu upwiru inabidi nimtafute NusrattWe boyah utakachofanyiwa muda si mrefu ni hiki!
View attachment 3334084
Kwamba...aaah sijui nachowaza😅Nakaziaa
Huyo anakutakaNaombeni ushauri au neno lolote.
Hapa ninapoishi (Ubungo) nimepata mgeni wa kike.
Dada huyu alikuwa ni rafiki yangu wa huko nyuma kabla sijaachana na ile kazi ya haramu niliyokuwa naifanya kule Mori na Dodoma.
Sasa huyu mgeni kwanza nimeshangaa kapajuaje hapa ninapoishi na licha ya hivo pia nimeshangaa sana kuja kukaa hapa maana ni nadra sana kupokea mtu ambae mlikuwa hamna mazoea kihivyo.
Anyway tuachane na hayo, nimekuja hapa jukwaani kuwaomba ushauri ili nijue nafanyaje.
Huyu rafiki yangu wa ana tabia zifuatazo:
1. Anapenda sana kunisalimia kwa kunikumbatia.
Yaani hata akiniona nimetoka dukani tu huja kunikumbatia hii tabia hakuwa nayo awali.
2. Huwa nina tabia ya kutizama televisheni mpaka usiku wa manane, akigundua kama niko macho kwenye kochi basi atakuja karibu yangu na kujikunyata kifuani kwangu ili tuangalie wote movie
3. Kuna siku nilikuwa naoga bafuni (chumba changu ni self) akaomba tuoge wote nilimkubalia kwa kujua ni rafiki tu ila aliamua kuniogesha mpaka mwisho
4. Hupenda kuninunulia zawadi za chupi na sidiria. Na juzi ile kaniletea zawadi ya kikuku cha mguuni.
5. Tukilala hupenda sana tukumbatiane na huwa namuona kama anapata hisia sana.
Sasa sielewi hisia za mwanamke na mwanamke anazitoa wapi?
6. Jana katoa kali, kasema eti maziwa yangu ni magumu nisijaribu kuyafanyia plastic surgery kwani nitayaharibu, anayapenda hivohivo.
Jamani huyu dada ananifanyia vituko vingi na vingine sisemi kwani ni aibu.
Mimi sina hisia nae kabisa japo ukikaa nae nasikia mpaka mapigo yake ya moyo yanavyodunda.
Mimi nimeumbwa kwa ajili ya mwanaume na si kwa ajili ya mwanamke mwenzangu.
Naombeni mbinu ya kumtoa hapa kwangu.
Kwao anasema ni Tengeru ila alikuja Dar kutafuta maisha.
Ananisapoti sana kimaisha kwani ni mchakarikaji sana ila shida ni hiyo tu.
Naogopa ipo siku nitamkuta juu ya kifua changu nami sitaki hali hiyo itokee.
Hapa nilipo namuangalia alivyolala kwa hisia.
Najua akiamka akinikuta natizama Tv atakuja kujikunyata pembeni yangu.
Wanaume naomba muungane na wanaume wote na wanawake wa humu kunipa ushauri.
Angekua hautaki huo mchezo zamani sana angeshamtimua ukizingatia na yeye ni mzoefu kwenye hiyo sector,.Kwamba...aaah sijui nachowaza😅
Huyu ni mwanamke mwenzake.Unataka usmbiawaje kuwa nakupenda ? Matoto ya kiume miaka hii tatizo kweli
Basi mawazo yangu yalinituma vingine, wadada mmecharuka sana!Angekua hautaki huo mchezo zamani sana angeshamtimua ukizingatia na yeye ni mzoefu kwenye hiyo sector,.
Sema anataka ajaribu new fantasy ila anatafuta justifications kwanza
Kila kitu tunataka kujaribu au sio?😄😂Basi mawazo yangu yalinituma vingine, wadada mmecharuka sana!