Rafiki yangu wa Kike simuelewi jamani!

Kuna Moja Bado Hujalimalizia Ukiachana Na Hayo Maelezo Yako Hapo Juu,, Tafadhali Tusifanyane Watoto,,Naomba Umalizie Stori Yako,,Sawa Mamii.....!!
 
Mtimue maana utajutia
 
Ungesema utuelekeze ulipo tuje tumshughulikie ipasavyo ili asikusumbue
 
Timua sagaji hilo
 
Na yeye ni Alikua Afisa Utamu? tuanzie kwanza hapo, kama sio Afisa utamu weka namba yake tumgegede
 
Mfukuze haraka sana kabla hajakushenyenta tom boy huyo
 
Ta Tafuta mjuba mmoja unaemwamini aje.amuombe gemu na uhakikishe anamkula,wewe utakuwa free.Otherwise atakukula wewe.
 
"""Ananisapoti sana kimaisha kwani ni mchakarikaji sana ila shida ni hiyo tu""
Kwa hiyo kauli ni ngumu kukutenganisha nae Ila Kwa ushauri wangu Namna ya kumtoa hapo mwambie boy friend wako anakuja kukaa hapo hivo atafute pa kwenda
 
Sawa kaka.
Nafanya hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…