Rafiki yangu wa Kike simuelewi jamani!

hatakama ni uongo umezidisha hivi jf unaichukulia ni yawatoto watoto mda wote wanawaza ngono
 

Kama ni wa Tengeru atakuwa Mmeru hao ni wachapakazi haswa; lakini pia hawana hizo tabia za Lesbian kwa sababu ya utamaduni wao japo huwezi jua kwa kuwa amekaa huko nje pengine amekengeuka. Lakini pia ni waelewa ukimueleza kuwa hupendelei abc ana acha.....
Akikushinda niunganishe naye nimuongeleshe kimeru ......nimeishi nao wako poa japo ni wakali sana kama ukimdharau....
 
Sawa kaka
 
Chai
 
Huu upuuzi wa kuhusisha mapenzi ya jinsia 1 na mapepo huwa mnatoa wapiii?.
Si ni hisia km hisia zingine.
 
Wabongo wao shida wanaume kusagana, ila wanawake aaaah.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
It's 🚫 fair kila mtu na uhuru wake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…