Basi bwana katika kujitafuta tafuta mwanetu tumuite Jina "machimu"
Tuliishi kwa upendo sana wote tukiwa level moja hali ya chini
Siku zinakwenda "machimu" akapata deal chunya akaenda kupiganisha makarashani/maduara(migodi midogo) mchizi kapiga Bingo
Mara ghafla kanununua range rover, anapanga na nyumba nzima
Mwana starehe na mademu wakamchanganya akatukataa kabisa Paap mwaka mmoja baadae gari ikapinduka ikawa tepe tepe! Hela zikaisha,
Nyumba kodi ya Mwaka ikaisha maana alienda kupanga Dodoma Chamwino sehemu inaitwa uyumbi shule ya mfano kwa wanaojua Dodoma nyuma ya stand pale nane nane🤔
Basi mchizi "Machimu" akarudi kututafuta mimi na mwanangu huyo tumpe Jina (Nzobe)
👉Huwezi amini mimi na mwanetu Nzobe maisha yetu yalibadilika Sana mimi nilikuwa ninamiliki "JIPU" 😅
👉Mwanangu Nzobe kwa upande wake yeye pia maisha yake yalibadilika yeye alikuwa ana "HAMA"
Yani wakuunamaanisha mimi kipindi maisha yake Machimu yanashuka kitu nilichokuwa namiliki ni (jipu) la kwapani mwanangu sikuwa na maisha Nzobe yeye alikuwa (nahama) 😅pale alipokuwa amepanga maana kodi iliisha
👉Kwahyo tuliishindwa kumsaidia mwanetu machimu
Ila nachoshukuru mwanetu Machimu kajifunza kutokana na makosa na Sasa tupo wote tunapambana tunanyanyuka Taratibu, kimawazo, kimaono
Kihatua jabo ni majobless
👉"Roma haikujengwa kwa siku moja"
Vijana wenzangu mafanikio ni mchakato wa mda mrefu wa hatua ndogo ndogo za Kila siku,
makutupora Intelligent businessman dosho12