Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo popoma unafikiri anajua boli?huyo mbambamba nyingi tuIle faulu wa kulaumiwa ni Onyango kwa kutoa pasi chonganishi na haya makosa amekuwa akiyafanya sana na kuigharimu timu.
Bila inonga kujitoa muhanga lile lilikuwa goli.
Mpka anaharibuSiku moja niliwahi kusema/kucomment humu kuwa mpenda kujikweza mmoja humu Jukwaani anazidi kuporomoka kifikra. uGreat Thinking unamkimbia hana tofauti na chizi.
Hapa unataka kuaminisha nini watu? Umewahi cheza mpira wewe. Kumbe ulofa hauna umri!??
Tatizo unajifanya unajua sana kumbe upopoma tu umekujaa. Hakuna lolote la maana ulilofungulia thread hapa. Huwezi kufurahia kuumizwa kwa mtu. Eti mwana maono aliyebarikiwa na Mungu; labda mungu wa kwenu.
Hata huyo Sure Boy aliyechezewa rafu na Inonga kwa sisi wenye hekina zetu na kujuwa maana ya mpira tulisikitika sana regardless ushabiki/upenzi wa timu ya Simba.
BAHATI MBAYA SANA U GT UNAZIDI KUPOROMOKA KWA KASI YA 5G.