Rafu aliyochezewa leo Inonga iwe ni funzo kwake kuacha sifa za kijinga, ushamba na utoto

Bila kupindisha maneno Genta unastahili tuzo unaongeaga ukweli japo ni Kolo
 
Ile faulu wa kulaumiwa ni Onyango kwa kutoa pasi chonganishi na haya makosa amekuwa akiyafanya sana na kuigharimu timu.

Bila inonga kujitoa muhanga lile lilikuwa goli.
Huyo popoma unafikiri anajua boli?huyo mbambamba nyingi tu
 
Mpka anaharibu
 
Huyu anapenda sifa muda mwingine mpk anavuka mipaka na ni mnafiki mnapenda tuu kumtukuza...na kwa jinsi alivyo mnafiki akianza kuisema Simba lazima ajifanye kuizungumzia Yanga vizuri ili wa Yanga wampe sapoti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…