Rafu Ya Inonga kwa Sure boy imenyamaziwa?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Tulitegemea kusikia adhabu kali kwa mchezo mbaya na wa hatari kwa rafu aliochezewa Sure boy siku ya Derby na Mlinzi wa Simba Inonga

Je,tafsiri ni nini?

Hawa bodi ya ligi ina maana hawakutazama mchezo ule?

Ile rafu mbaya vipi kama ule mguu ungekipata kichwa cha Sure boy si ingekua madhara makubwa au kifo?

Wachezaji wengi walishaadhibiwa kwa makosa ya namna ile pindi adhabu ya ndani ilipokuwa ni ndogo kulinganisha na kosa.

Miongoni mwa wachezaji waliohukumiwa kwa style hiyo ni Djuma shaban yeye alifungiwa michezo mitatunafikiri.

Sasa ninikinatokea huyu Inonga anafumbiwa macho?

Hii inaleta picha gani?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Boss wao pale Tff, uyo Inonga ni mchezaji wa Timu yake kama Ili vyo Kwa Mtenje Juma wa Coast Union aliye mchezea faulo mbaya Bangala. Hakuna wa kumfunga paka kengele.
Ivyo vijamaa vya bodi ya ligi vinaendeshwa Kwa Rimoti ambayo miliki ni Karia.
 
Tulitegemea kusikia adhabu kali kwa mchezo mbaya na wa hatari kwa rafu aliochezewa Sure boy siku ya Derby na Mlinzi wa Simba Inonga....
Kule arusha mliwafanyia vurugu mashabiki wa coastal union na mmoja mlimpiga mpaka mkamuua wengine mliwajeruhi na chupa za maji mlipewa adhabu ajabu sio manara wala team ya yanga iliyokemea mkipewa adhabu mumlaumu karia na mnabahatia hakuwa shabiki wa simba tungelipiza kisasi endeleeni kulia lia hvyo mwisho mtasingizia mlifungwa na vipers kwasababu ya karia yule nguruwe pori kashawakamata masikio.
 
Malalamiko mrngine ni yakitito sana, humu wote tulisha kemea kitendo hicho cha enengo na hakuna aliyefurahia rough ya namna ile.

Sasa kulirudia rudia jambo hilo hilo na kutaka hatua ya ziada ichukuliwe hiyo sio sawa.

Otherwise unikumbushe ni lini ulianzisha uzi wa malalamiko kulalamikia rough hii ya mchezaji wa Yanga dhidi ya mchezaji wa Simba
 
Daby ya mwaka jana kuna faulo aliifanya Djuma Shabani andunje kwa Kapombe,hayo yamekwisha tugange yajayo.
 
Malalamiko mrngine ni yakitito sana, humu wote tulisha kemea kitendo hicho cha enengo na hakuna aliyefurahia rough ya namna ile.

Sasa kulirudia rudia jambo hilo hilo na kutaka hatua ya ziada ichukuliwe hiyo sio sawa.

Otherwise unikumbushe ni lini ulianzisha uzi wa malalamiko kulalamikia rough hii ya mchezaji wa Yanga dhidi ya mchezaji wa Simba
View attachment 2332968
Maonevu yamezidi

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Tulitegemea kusikia adhabu kali kwa mchezo mbaya na wa hatari kwa rafu aliochezewa Sure boy siku ya Derby na Mlinzi wa Simba Inonga

Je,tafsiri ni nini?

Hawa bodi ya ligi ina maana hawakutazama mchezo ule?

Ile rafu mbaya vipi kama ule mguu ungekipata kichwa cha Sure boy si ingekua madhara makubwa au kifo?

Wachezaji wengi walishaadhibiwa kwa makosa ya namna ile pindi adhabu ya ndani ilipokuwa ni ndogo kulinganisha na kosa.

Miongoni mwa wachezaji waliohukumiwa kwa style hiyo ni Djuma shaban yeye alifungiwa michezo mitatunafikiri.

Sasa ninikinatokea huyu Inonga anafumbiwa macho?

Hii inaleta picha gani?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Yanga tumezoea hiyo
 
Rafu ya Mtenje dhidi ya Bangala, ndiyo angecheza mchezaji wa Yanga! Basi lazima angefungiwa mechi 3.

Tuliyaona kipindi kile kwa Dickson Job. Na lengo hapa siyo kulalamika. Ila ni vizuri sheria na kanuni zikafanya kazi kwa usawa.
 
Tulitegemea kusikia adhabu kali kwa mchezo mbaya na wa hatari kwa rafu aliochezewa Sure boy siku ya Derby na Mlinzi wa Simba Inonga. Je,tafsiri ni nini? Hawa bodi ya ligi ina maana hawakutazama mchezo ule?
Refa alishatoa adhabu, na hakukuwapo na ukiukwaji wa nidhamu wa Inonga.Kwa hayo mawili, Bodi haina jambo la kuongezea
 
Tulitegemea kusikia adhabu kali kwa mchezo mbaya na wa hatari kwa rafu aliochezewa Sure boy siku ya Derby na Mlinzi wa Simba Inonga

Je,tafsiri ni nini?

Hawa bodi ya ligi ina maana hawakutazama mchezo ule?

Ile rafu mbaya vipi kama ule mguu ungekipata kichwa cha Sure boy si ingekua madhara makubwa au kifo?

Wachezaji wengi walishaadhibiwa kwa makosa ya namna ile pindi adhabu ya ndani ilipokuwa ni ndogo kulinganisha na kosa.

Miongoni mwa wachezaji waliohukumiwa kwa style hiyo ni Djuma shaban yeye alifungiwa michezo mitatunafikiri.

Sasa ninikinatokea huyu Inonga anafumbiwa macho?

Hii inaleta picha gani?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Nendeni CAS,mumezidi kulalamika kama mwanamke aliyepachikwa mimba kisha kidume akamtolea nje
 
Hivi kuna mtu ana kejeli dharau na ego kama yule nguruwe pori wa yanga mke wa engineer hersi [emoji28][emoji28]
.
 
Attachments

  • JamiiForums-1748518016.jpeg
    JamiiForums-1748518016.jpeg
    8.9 KB · Views: 6
Ugumu wa maisha unaopitia unasababisha yote haya
Kweli kabisa niletee thread yangu hata moja niliyoweka post ya kuomba ajira hapa jf mimi ndo naajiri watu kama nyie ambao hamna kazi mnaenda airport kupokea wageni ila huu ni utani we unachukulia serious kama watu wangekuwa serious basi yule nguruwe pori angekuwa yupo jela.
 
Rafu ya Mtenje dhidi ya Bangala, ndiyo angecheza mchezaji wa Yanga! Basi lazima angefungiwa mechi 3.

Tuliyaona kipindi kile kwa Dickson Job. Na lengo hapa siyo kulalamika. Ila ni vizuri sheria na kanuni zikafanya kazi kwa usawa.
Twendeni taratibu kule arusha mlipiga mtu mpaka akapoteza uhai mlipewa adhabu gani iwe faini au onyo yaani kwa mlichokifanya arusha kama ni ulaya ilikuwa msimu mzima mucheze mechi bila mashabiki ila kwasababu mshazoea kulalamika karia kaamua apotezee maana angewapa adhabu mngekuja kulia lia utopolo fc aka vinyesi fc.
 
Back
Top Bottom