Rafu Ya Inonga kwa Sure boy imenyamaziwa?

Rafu Ya Inonga kwa Sure boy imenyamaziwa?

Msimu uliopita mlihonga wachezaji wa timu zilizokutana na Simba ili watuumizie wachezaji wetu,mmoja wa wahanga wa udhalimu wenu huu ni Sakho. Kwenye fainali ya kombe la Azam kule Kigoma Miquisonne alifanyiwa unyama wa hali ya juu anapigwa buti na mchezaji mmoja anaruka mchezaji mwingine wa Yanga anamrukia tena yaani mlitaka kumuua mmakonde wa watu lakini tulikausha kwani wakosaji waliadhibiwa uwanjani. Wacheni malalamiko ya kipuuzi.
Achana na hyo wakuu wa mikoa walikuwa wanatoa ahadi ya million 10 team itakayoifunga simba bora hata wengine wametumbuliwa akiwa pamoja na ali hapi ila simba bado walikaa kimya yaani mashabiki wa yanga ndo mashabiki wa hovyo kwenye soka wao kila kitu wanalalamika walitaka kwenda ikulu kuna siku ila sijui nini kiliwarudisha nyuma.
 
Kila timu ilionyesha uwezo wake tuwe wakweli
Kila mechi ahadi ya milioni 10 kweli?
Nina imani yanga alisajiri vizuri na msimu huu kaboresha,haya kwenye derby mmepigwa 2 na bado kwenye ligi tena oktoba 23 unakufa

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Hivi kuna mtu ana kejeli dharau na ego kama yule nguruwe pori wa yanga mke wa engineer hersi [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] malizia ni bi mdogo wa Rais.
 
Basi tufanye hajafa kwa hyo kumuelekeza mtu kwenda kukaa ndo mumshambulie hivi hamuwezi kukaaa kimya nyie kila kitu ni kulalamika mbona coastal union team ndo imefanyiwa unyama arusha ila imeamua kukaa kimya.
Sasa hiyo Coastal imefanyiwa unyama gani huko Arusha! Zaidi tu ya hiyo mivutano ya mashabiki!

Na hapa wanamichezo nikiwemo mimi, tunalamikia rafu za kuvunjana/kuleteana vilema vya maisha michezoni.

Ni vyema jambo hili tukalikemea kwa pamoja. Maana hawa wachezaji wanatemea mpira kama ajira yao namba moja.
 
Sawa mkuu uliza waliokuwepo arusha kilichotokea sitetei rafu ya inonga ila hii tabia yenu ya kulalamika ni sumu mnajijengea.
 
Tulitegemea kusikia adhabu kali kwa mchezo mbaya na wa hatari kwa rafu aliochezewa Sure boy siku ya Derby na Mlinzi wa Simba Inonga

Je,tafsiri ni nini?

Hawa bodi ya ligi ina maana hawakutazama mchezo ule?

Ile rafu mbaya vipi kama ule mguu ungekipata kichwa cha Sure boy si ingekua madhara makubwa au kifo?

Wachezaji wengi walishaadhibiwa kwa makosa ya namna ile pindi adhabu ya ndani ilipokuwa ni ndogo kulinganisha na kosa.

Miongoni mwa wachezaji waliohukumiwa kwa style hiyo ni Djuma shaban yeye alifungiwa michezo mitatunafikiri.

Sasa ninikinatokea huyu Inonga anafumbiwa macho?

Hii inaleta picha gani?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Yanga ndo mana hamfiki mbali mnapenda kulalamikia mpaka vimvuli, mguu wa Innonga haukugusa kichwa cha Sureboy, sasa bodi imuadhibu Innonga kwa kosa gani? Kwanza ule mpira haukua wa kucheza kwa kichwa yeye Sureboy kachomeka kichwa kama si kuyataka mwenyewe ni nini?
Huenda mwaka 1988 ulikuwa bado hujazaliwa au hujakomaa akili, Kwenye Derby kama hiyo beki wa Yanga Salum Kabunda "Ninja" alimkita kichwani mshamba Malota Soma "Ball juggler" mpaka alichubuka kichwani akafungiwa bandeji na refa hakutoa hata yellow card! Hivi ungeiona ile si ungelia kabisa!
 
Kweli kabisa niletee thread yangu hata moja niliyoweka post ya kuomba ajira hapa jf mimi ndo naajiri watu kama nyie ambao hamna kazi mnaenda airport kupokea wageni ila huu ni utani we unachukulia serious kama watu wangekuwa serious basi yule nguruwe pori angekuwa yupo jela.
Jitahidi upate hata milo miwili kwa siku utapunguza mikasiriko na kutukana watu
 
Back
Top Bottom