Rafu Ya Inonga kwa Sure boy imenyamaziwa?

Achana na hyo wakuu wa mikoa walikuwa wanatoa ahadi ya million 10 team itakayoifunga simba bora hata wengine wametumbuliwa akiwa pamoja na ali hapi ila simba bado walikaa kimya yaani mashabiki wa yanga ndo mashabiki wa hovyo kwenye soka wao kila kitu wanalalamika walitaka kwenda ikulu kuna siku ila sijui nini kiliwarudisha nyuma.
 
Kila timu ilionyesha uwezo wake tuwe wakweli
Kila mechi ahadi ya milioni 10 kweli?
Nina imani yanga alisajiri vizuri na msimu huu kaboresha,haya kwenye derby mmepigwa 2 na bado kwenye ligi tena oktoba 23 unakufa

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Sawa kabisa kama kipimo ni derby tutakuja kuona kimataifa
 
Hivi kuna mtu ana kejeli dharau na ego kama yule nguruwe pori wa yanga mke wa engineer hersi [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] malizia ni bi mdogo wa Rais.
 
Basi tufanye hajafa kwa hyo kumuelekeza mtu kwenda kukaa ndo mumshambulie hivi hamuwezi kukaaa kimya nyie kila kitu ni kulalamika mbona coastal union team ndo imefanyiwa unyama arusha ila imeamua kukaa kimya.
Sasa hiyo Coastal imefanyiwa unyama gani huko Arusha! Zaidi tu ya hiyo mivutano ya mashabiki!

Na hapa wanamichezo nikiwemo mimi, tunalamikia rafu za kuvunjana/kuleteana vilema vya maisha michezoni.

Ni vyema jambo hili tukalikemea kwa pamoja. Maana hawa wachezaji wanatemea mpira kama ajira yao namba moja.
 
Sawa mkuu uliza waliokuwepo arusha kilichotokea sitetei rafu ya inonga ila hii tabia yenu ya kulalamika ni sumu mnajijengea.
 
Yanga ndo mana hamfiki mbali mnapenda kulalamikia mpaka vimvuli, mguu wa Innonga haukugusa kichwa cha Sureboy, sasa bodi imuadhibu Innonga kwa kosa gani? Kwanza ule mpira haukua wa kucheza kwa kichwa yeye Sureboy kachomeka kichwa kama si kuyataka mwenyewe ni nini?
Huenda mwaka 1988 ulikuwa bado hujazaliwa au hujakomaa akili, Kwenye Derby kama hiyo beki wa Yanga Salum Kabunda "Ninja" alimkita kichwani mshamba Malota Soma "Ball juggler" mpaka alichubuka kichwani akafungiwa bandeji na refa hakutoa hata yellow card! Hivi ungeiona ile si ungelia kabisa!
 
Jitahidi upate hata milo miwili kwa siku utapunguza mikasiriko na kutukana watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…