Rafu Zimechezwa nyingi sana, Je tunakwenda kutoa Rais wa aina gani ?

wapiga vigelele wa bunge na kikundi cha pambio wameanza kupata matoke ya mapambio kupitia tatu za moto za majimbo,wamejikaanga kwa mafuta yao wenyewe.
 
Kwalwe
Kwakweli mtu wa namna hiyo afai kuwa raisi kabisa.
 
Kelele zote hizi ni kwa hisani ya walioutaka urais wakijidanganya wanao uwezo kumbe vichwani ni zero kabisa.

Mmoja alikuwa mwandishi wa hotuba za Rais Kikwete, kapigwa chini ubunge kule kwao Tanga anachokifanya ni kuanzisha fitina ambazo anajua kabisa zitagonga ukuta.

Kikwete anaingia lawama kwa kuingiza watoto wa mjini wengi kwenye siasa za uongozi ambazo ni nyeti, taratibu hawa wahuni wataondoka mmoja baada ya mwingine
 
Hakuna kifungu kilichovunjwa cha Katiba acheni mizengwe ya kijinga hii.

Mnatakiwa mzijue nguvu za mwenyekiti wa CCM anayekuwepo madarakani, kaanza kubeba kofia mbili tangu Mwalimu Nyerere mpaka kwa huyu Samia.
 
Nacho hofia tuelekeako ni pagumi SANA mkuu watakuja viongozi watataka wakae madarakani kwa mihula mingi sana NDO UTAKUA mwanzo WA machafuko kwa Nini RAIS asinge rekebisha katiba hata kwa nguvu ILI TU awaaminshe WATU katiba haijavunjwa ILI iendelee kuheshimiwa.

Kwishaaaaaa


Bro Alex on la beats yoow ................ Jah iz really
 
Simple...kama mtu hawezi kuilinda na kuitetea katiba hatufai! (Nyerere)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…