Rage ajengewe sanamu lake

Sasa mna uhakika gani kama timu ya Simba sharti la kwanza la kumsajili mchezaji ni lazima awe ana cheti cha afya awe amepima vipimo kadhaa? So watamsajili mtu bila kujua afya yake b4? Hapo si wanapima tena kujua kama bado wako na afya ile ile walopima kabla? Nashangaa watopolo wote humu mnashindwa kuwaza kiupana..
 
Sio kosa lako, muda mrefu wa maisha yako ulikua mbwinde. Huna unalolijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…