Rage ajengewe sanamu lake

Rage ajengewe sanamu lake

Sasa mna uhakika gani kama timu ya Simba sharti la kwanza la kumsajili mchezaji ni lazima awe ana cheti cha afya awe amepima vipimo kadhaa? So watamsajili mtu bila kujua afya yake b4? Hapo si wanapima tena kujua kama bado wako na afya ile ile walopima kabla? Nashangaa watopolo wote humu mnashindwa kuwaza kiupana..
 
Wewe bwabwa kitambo tu hata familia yako wanasikitika unavyowadhalilisha.
Acha hizi mambo
IMG_20220826_200500.jpg


Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Sio kosa lako, muda mrefu wa maisha yako ulikua mbwinde. Huna unalolijua.
 
Back
Top Bottom