Rage ataja mechi Nne za kuishusha Yanga

Makonda anataka kwanza ampige GSM za usso ili aachane na Kiwanja chake. Huku KMC kule Makonda pale Fans wa Simba mnazidi kuongeza Haters kazi ipo
 
Makonda anataka kwanza ampige GSM za usso ili aachane na Kiwanja chake. Huku KMC kule Makonda pale Fans wa Simba mnazidi kuongeza Haters kazi ipo
Makonda huyu huyu asie na marinda ndio apambane na Wanaume rijali wenye marinda yao?
 
Rage ni mzee mla rushwa,kauli zake si za kuchukulia kwa uzito wowote.
 
Kilaza huyo nikikumbuka tarehe 01.04 alisema Chama cha Soka cha Kenya kimemteua Ruud Gullit kuwa kocha wa timu ya Taifa ya Kenya kipindi hicho kumbe ilikuwa ni siku ya wajinga Duniani na yeye akalishwa ujinga akawa mjinga!
 
Njaa mbaya sana.Huyu mzee anatafuta cheo kwa nguvu pale Simba anaongea kila siku ili Mo anyone ampe nafasi vinginevyo uwezo wake wa kufikiri na kujenga hoja ni mdogo sana ndiyo maana sehemu zote alizotumikia kwenye maisha yake amefeli kwa kiwango Cha juu.Mfano tu Ubunge,Uongozi wake ndani ya Simba. Nk ,Ni Mtu fulani Mjanja Mjanja na Tapeli wa mjini si wa kumsikiliza na kufuata ushauri wake hata Kidogo
 
Wanasimba sikukuu yenu ya Mbumbumbu inakaribia muulizeni Kubwa lenu la Mbumbumbu Rage mtakuwa wapi hiyo 1.4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…