Rage awatahadharisha Simba kuacha usajili wa 'kijanja janja'

Rage awatahadharisha Simba kuacha usajili wa 'kijanja janja'

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
c8606693d40c0eee2e8a954e42acec8f.jpg
 
Huyu mzee naona bado anatafuta uongozi Simba baada ya siasa kumtupa. Ila siyo mbaya acha naye apambane na hali yake
 
Erasto Nyoni kiwango ndo kimepanda zaidi baada ya kuja simba!
 
kati ya mtu aliyeongoza katika uongozi wake kusajili wachezaji kiujanja ni Aden Rage alimwuza Okwi kwa mkopo, aliwauza Sammata na Ochan kwa pesa ndefu lakini alishindwa kutafuta mbadala wake sasa hivi anatafuta kick baada ya kutemwa kwenye siasa
 
Bilioni 1.3 baada ya miezi 3 timu mbovu...MO unapigwa wachezaji wote wa. Deal wanagawana na viongozi
 
Back
Top Bottom