Rage: Mikataba ya Yanga kama kadi ya harusi

Rage: Mikataba ya Yanga kama kadi ya harusi

rage ni mjinga ๐Ÿ’€.. no wonder simba is doom.

iko hivi mchezaji anaweza kusign hata na timu 100. ila atasajiriwa na moja tu.

huyu rage anaongea kama sio msomi

Si ndicho alichosema Rage sasa? Au huelewi contract Yanga wanayo maktaba, ila hawajaifanyia registration kwenye TMS badala yake wanazurura nayo kwenye press? Hiyo timu moja aliyosajiliwa ndio Simba sasa. Kama walau unaelewa hadi hapo, unakwama wapi kujua ulichoandika ndicho alichosema Rage?
 
Hana us
rage ni mjinga ๐Ÿ’€.. no wonder simba is doom.

iko hivi mchezaji anaweza kusign hata na timu 100. ila atasajiriwa na moja tu.

huyu rage anaongea kama sio
rage ni mjinga ๐Ÿ’€.. no wonder simba is doom.

iko hivi mchezaji anaweza kusign hata na timu 100. ila atasajiriwa na moja tu.

huyu rage anaongea kama sio msomi
Hana usomi wowote ana ka certificate, uongozi wowote anaogombea anashindwa
 
rage ni mjinga ๐Ÿ’€.. no wonder simba is doom.

iko hivi mchezaji anaweza kusign hata na timu 100. ila atasajiriwa na moja tu.

huyu rage anaongea kama sio msomi
Sasa Kagoma amesajiliwa na timu gani? Simba ama SFG?

Maana mkataba uliowekwa hadharani na utopwinyo unaonesha kuwa Yanga ndiyo imemuuza Kagoma kwa SFG.

Kisheria SFG baada ya kumnunua Kagoma toka Yanga, wakamuuza Simba. Zogo linatoka wapi tena?

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜„๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜‚
 
Ya kweli haya ?
---

Aden Rage akihojiwa na Crown Media kuhusu sakata la Mkataba kati ya Yusuph Kagoma na Yanga emesema:

"Wanasheria wetu watanzania watofautishe Elimu yao ya sheria zetu za Tanzania na sheria za FIFA, wanapaswa kujua kuna kitu kinaitwa TMS ambayo ilianzishwa na FIFA ili kusiwe na mambo ya double registration.
Yanga Sc wanaweza kuwa na mikataba yao ya halali kama wanavyosema wenyewe ila wanayo kwenye maktaba zao na hawajapeleka TMS, taarifa zao hawajaziingiza kwenye system, wamekaa nazo taarifa zao hawajaziingiza kwenye sysytem. Mikataba yao haina tofauti na kadi za harusi"
Soma Pia:
Swali fikirishi je yanga SC wanayo TMS, Simba SC nadhani wanayo na ndiyo maana wahezaji wanashiriki huko kwenye michuano ya shirikisho akiwemo huyo Kagoma
 
Back
Top Bottom