Ninaona katika mitandao huyu mzee anajitokeza kutoa ushauri mbalimbali katika taharuki inayiendelea Simba.
Ninavyojua huyu jamaa ni mmoja wa watu wasio na ushawishi kwa mashabiki hata kidogo kutokana na kauli yake ya kihuni aliyotoa kuhusu mashabiki kuwa ni mbumbumbu.
Simba isingekuwa hapo bila mashabiki. Kama hamuamini hilo waulizeni Azam.
Mashabiki tunamwona huyu jamaa kama mtu asiyefaa kuwa mbele kabisa kwa lolote