Rage ni mmoja wa wahuni ambaye hatakiwi kabisa kusema juu ya Simba kwa sasa

Rage ni mmoja wa wahuni ambaye hatakiwi kabisa kusema juu ya Simba kwa sasa

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Ninaona katika mitandao huyu mzee anajitokeza kutoa ushauri mbalimbali katika taharuki inayiendelea Simba.

Ninavyojua huyu jamaa ni mmoja wa watu wasio na ushawishi kwa mashabiki hata kidogo kutokana na kauli yake ya kihuni aliyotoa kuhusu mashabiki kuwa ni mbumbumbu.

Simba isingekuwa hapo bila mashabiki. Kama hamuamini hilo waulizeni Azam.

Mashabiki tunamwona huyu jamaa kama mtu asiyefaa kuwa mbele kabisa kwa lolote
 
JamiiForums1345903959.jpg
 
Ninavyojua,huyu jamaa ni mmoja wa watu wasio na ushawishi kwa mashabiki hata kidogo kutokana na kauli yake ya kihuni aliyotoa kuhusu mashabiki kuwa ni mbumbumbu.
Kwahiyo kuwa mkweli ni kosa😯
 
Back
Top Bottom