Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Kindege cha aviatorCc:
Kindege secretarybird
Vyote nimepata hii long weekendKitu gani umefanya siku za karibuni au huwa unafanya mara kwa mara kujipa raha mwenyewe au kupata furaha.
Naanza:
- Kufanyiwa oil massage (kukandwa kandwa )
- Tendo la raha / Ngono (Kuna mtu aliniuzia toy humu, abarikiwe sana)
- Kusafiri
- Kucheza mziki
Share na wewe raha zako (labda tutapata kipya cha kujaribu)
Nimekuja kwa bonge la dadaKitu gani umefanya siku za karibuni au huwa unafanya mara kwa mara kujipa raha mwenyewe au kupata furaha.
Naanza:
- Kufanyiwa oil massage (kukandwa kandwa )
- Tendo la raha / Ngono (Kuna mtu aliniuzia toy humu, abarikiwe sana)
- Kusafiri
- Kucheza mziki
Share na wewe raha zako (labda tutapata kipya cha kujaribu)
Kweli bado uko kwenye steji za ukuaji.Mimi huwa naangaliaga katuni. Ndio furaha yangu hiyo mengine nawaachia nyie
Dondosha tusi la nguoni uone itakuwaje!Napataje ban ya miez miwili?
You and me both, inapendeza sana π«ΆVyote nimepata hii long weekend
Hiki ni chakula gani πππππππ ??????????
Mbona picha ya 10M umeitoa sasa? labda Bonge la dada yupo humu anasoma replies.Nimekuja kwa bonge la dada
Sawa enjoy, angalia usipate uraibu."Goli la mkono"