Raha na utamu wa kula samaki aina ya Pweza iko wapi?

Raha na utamu wa kula samaki aina ya Pweza iko wapi?

Hahahaa. Sidhani kama watakuelewa hasa wale unaowakuta wamemzunguka huyo muuza pweza huku wana vijiti wakila na kumwambia muuzaji ahesabu vipande wanavyokula.

Ila nasikia ana faida mwilini huenda ndio chanzo cha kupendwa mbali na muonekano mbaya alio nao.

pweza mbona mzuri jamani, ila mzuri zaidi wa kumuandaa mwenyewe na kwa usalama wa afya
 
Back
Top Bottom