Raha na Vioja vya disko na mikusanyiko ya kidini shule za bweni(Boarding Schools)

sisi tulikuwa wabaguzi sana darasa letu.tukienda disco hatuchezi na wavulana wa shule jirani tunacheza tu wenyewe kwa wenyewe .ila wa nyuma yetu walikuwa mapepe sana wale watoto .saa ya kurudi shuleni tunaweza kukaa kwenye bus masaa 2 hawaonekani
Kwetu msingerudi tena, ingekuja shule nyingine
 
Wewe jamaa nakushauri uandike vitabu. Wewe ni mwandishi mzuri sana na upo makini sana. Inaonyesha kabisa ulisoma nyakati gani.
Mwambie mtoto wa Kikwete akuandikie stori kama hii, utatamani kulia.
 
Hahahaha iyo wazee wa feedback tulikua na kazii maana mziki unataman ila unamuogopa amirath bas unachungulia nje tu hahaha....siku nlishindwa nikaingia na shung langu cheeza mpaka mwisho hahaha ila kutoka sio kusemwa kule. Bas nikawa wakisema kuna pin ndo nautafuta usingiz ibilis asipande...
 
Ha ha haa.. Afu wewe umenichekesha sana
 
Daaa. Uzi huu umenikumbusha watoto wa Weruweru Girls, Kibosho Girls na Kiraeni. Way back 2000 pale MTI SAFI mwaka 2000. "Mtoto Bite...najua upo humo JF..ulikuwa unapulizia perfume kwenye bahasha kisha unatia barua yangu ndani, ila uliishia kuolewa na kigogo mama[emoji24]
 
Wewe jamaa nakushauri uandike vitabu. Wewe ni mwandishi mzuri sana na upo makini sana. Inaonyesha kabisa ulisoma nyakati gani.
Mwambie mtoto wa Kikwete akuandikie stori kama hii, utatamani kulia.
Mkuu Mtakatifu Ivuga umeona "fursa" ndani yangu?Kamata twendezetu
Ha ha ha ha ha ila huyu Mtakatifu kwenye litania sijamuona kabisa?Labda awe wa Rubya Seminary pekee
 
These were the old good golden days!!They wont come back again
 
Mkuu ulipigwa kanzu na kigogo?Pole sana
 
Mkuu ulipigwa kanzu na kigogo?Pole sana
Acha tuu mkuu. Laiti zisingechelewa kunitembelea ningemuwahi. Ila hata hivyo sijutii maana age difference isingekuwepo
 
Kulikuwa na makaka flan hivi ndugu wahaya walikuwa wanasoma PCM, mmoja alikuwa mwenyekiti na mwingine katibu YCS Mapendo mkoa. Wengi tulijunga na YCS kwaajili ya kuwaona tu.
 
Kipindi icho nilikuwa nikibambia lazima manii zinitoka sasa nilikuwa nachukua leso mjamaa akisimama namfunga ili wajamaa wakija basi walowanishe leso maana wakilowanisha suruale lazima ramani zitokee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…