Raha sana kwenda vacation na baby

Raha sana kwenda vacation na baby

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Raha sna sijui hta nianzie wapi kuelezea. Kla kitu tunachokifanya nakiona km kipya km tuko peponi. Mapenzi ni ktu kizuri sna halafu ukimpata yule mnapendana ndo inakuwa raha zaidi hii dunia imekuwa km peponi natamani usiku au mchana usiishe. Ila wazungu wanajua sna mapenzi. Anyways, sisi bado tuko huku tuna make beautiful memories for ourselves 😍 thanks!
 
siku nyingne mniite niwe photographer wenu
 
Raha sna sijui hta nianzie wapi kuelezea. Kla kitu tunachokifanya nakiona km kipya km tuko peponi. Mapenzi ni ktu kizuri sna halafu ukimpata yule mnapendana ndo inakuwa raha zaidi hii dunia imekuwa km peponi natamani usiku au mchana usiishe. Ila wazungu wanajua sna mapenzi. Anyways, sisi bado tuko huku tuna make beautiful memories for ourselves [emoji7] thanks!
Mtaachana tu.
 
Afu mi zaman nilikuwa nahisi unapotaka kudate na mzungu ni lazima ujiandae kufumuliwa tundu zote mbili.
 
Back
Top Bottom