Raha sana kwenda vacation na baby

Raha sana kwenda vacation na baby

Mapenzi ya mwanzo tu hayo mkuu... Hongera.

Wazee walisemaga kama ukingali na meno,, vunja mifupa. - by Gatho Beevans (kongo)
 
mapenzi yetu kibongo bongo wanakwambia wewe mpelekee moto
 
Jifunze kuandika vizuri, shule mnafungua lini?
 

Ni mwanaume yupi kati ya hao wawili ndio zamu yake week hii?



Ona ujinga wako.
 
Back
Top Bottom